@teacheryusuph: KWAYA YETU WALIMU KITAIFA YA FUNGA MWAKA 2026 NDIO HII SASA TUMESHAKUBALIANA..🤣🤣🤣📌📌📌📌📌📌📌📌 #tanzaniatiktok🇹🇿 #kenyatiktok🇰🇪 #ugandatiktok🇺🇬 #trending #foryoupage

Teacher yusuph.
Teacher yusuph.
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 31 July 2026 17:25:01 GMT
13949
388
42
74

Music

Download

Comments

lucy.mwaijengo734
lucy mwaijengo734 :
Nurse,my clasmate 🥰
2026-07-31 18:07:33
1
mongenice
Mongenice🥰🥰 :
nawasubiri jumatatu live😂😂😂😂 nije na mchina live yenu
2026-07-31 19:26:46
2
gershonkomandog
Gershon Komando :
kukopa sio vibayaa walimu lakini unakopa unafanyaa nini msipokopa mtaaishije mnahasisha vitu vya ajabu sana uchumi umewapiga chengaa kabisa
2026-07-31 19:58:29
1
pulkeria55
pulkeria :
kwaya nimeipenda sana nitawaalika kwenye mahafali
2026-07-31 21:34:58
0
momjaylove1
mom J :
mmetisha sana, ujumbe mzuri sana msikope jamani
2026-07-31 21:54:41
0
auntyray0
Aunty_rey :
imebidi nicheke tu😂😂😂
2026-07-31 18:36:30
1
revania8697
moanna 869! :
walimu tuvae vizuriii,tuvae vizuri nasisi tuheshimikeeeew
2026-07-31 20:27:06
1
ester.emmanuel75
ester emmanuel :
Hahaaaha
2026-07-31 20:39:41
0
azzy.influencer
Azzy influencer💟 :
ila Nessy
2026-07-31 20:27:39
0
able4644
able :
naupataje huu wimbo mtandaoni😂
2026-07-31 20:31:20
0
sophianyemele
Mama Nulan♥️🔥 :
walimu mnanini jaman😂😂😂😂
2026-07-31 20:26:31
0
nyandindi_03
Mama Nyandindi :
sahihi kabisa .
2026-07-31 20:41:10
0
kenedymirambi
Kenedy Mirambi :
mnaweza kuruhusu kila staff tz watoe remix ya hii ngoma na location iwe ofsin kabisa??!!🤣🤣🤣🤣
2026-07-31 19:52:55
0
williamfikiri86
William Fikiri :
hahahahaha
2026-07-31 20:25:19
0
wilhelminamswai
mina :
😂😂😂😂 why mwl. lakini? 🤔🤔🤔
2026-07-31 20:01:55
0
user1408939291081
mamake faytotooo :
wanatuchosha kila siku wanaleta vyombo
2026-07-31 20:22:47
0
cheyohs
TheOptimist🙏 :
mtu aniandikie majina ya hawa walimu,,, nataka tufanye kolabo😂
2026-07-31 20:12:37
0
user6628370358027
jasitini aloni :
kukopa nilazima
2026-07-31 17:40:21
0
rosqa996
Heavenly harvest cakes :
🤣🤣🤣🤣🤣 Vyombooo oyeeeee
2026-07-31 19:32:24
0
user830934687128
mary :
yaaani hii maada tulikuwa nayo leo stafuuuu😅😅😅😅
2026-07-31 18:56:47
0
shukurunamal
Madam Namala :
mwl kwa nn unavaa t shirt kazini
2026-07-31 19:43:42
0
upendo.kapungu3
Upendo Kapungu :
Ila sis nesy nakuona😂😂
2026-07-31 22:31:56
0
zabron123
zabronyusuph :
teacher yusuph ulivo siliazi
2026-07-31 19:21:39
0
roseemmanuel945
Mama T Collection KASULU :
ila nes haukuruka stage kweli za ukuaji mbona naona we ndo mwalim wa hii kwaya😁
2026-07-31 19:35:01
0
nyaj.bakery
Nyakalo Bakery :
huyo madam classmate wangu huyo
2026-07-31 18:33:50
0
To see more videos from user @teacheryusuph, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About