Kuna day bro yangu aliingia chini ya meza mind you meza ilikua imefunikwa na kitamba na akalala woiii mamangu alimtafuta alikua Amelia aje tulimtafuta adi uko dandora dumpsite woiiiii after tumegive up anaamka ni kama Ako drama festival akisema Ako njaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-01 09:42:18
2570
Sonnie m :
Wangu aliingia kwa jirani pali pombe inapikwa 🤦♀️mlevi amamfunika na koti mtoto akalala nilitafta kila mahali badae ndio analetwa nilikua nimelia yameisha😂😂😂😂
2026-08-01 13:42:47
334
@Thrift by Angie :
this was me years back wali report hadi kwa police station 😂😂😂😂
2026-08-01 16:19:17
0
𝙆𝙖𝘽𝙪𝙙𝙖𝙖🫵🔹 :
wangu alinipotelea supermarket kuenda Kwa customer care kuangalia CCTV tulimpata amejificha Kwa fridge😂
2026-08-01 11:03:35
855
Janty 🩺💊💉 :
my son did this then akalala😅😅😅story of another day
2026-08-01 04:29:14
191
🤍Katrinah 💫💛🤍 :
Why do these bundles of joy,like to test our blood pressure???!😂
2026-08-01 07:03:33
266
Atis🌹🌹 :
alafu alale 😂😂😂😂
2026-08-01 11:58:14
3
princesscc10 :
Ukizaa a boy unakuwa worried the whole of your life 😂😂
2026-08-01 16:53:13
90
Trixie :
Heri nyinyi.wangu alipotea cha ukweli nikampata kwa mgongo ya mama alikuwa anampeleka kwa Chief.Nililia yangu yote.
2026-08-01 13:59:00
188
Wangui 🥰 :
commenting while mine is inside the wardrobe 🤣🤣😁🤣🤣
2026-08-01 16:56:19
1
KITALE GIRL :
nmewai poteza Mtoto khetias saparmarket nlichanganyikiwa for 30mints..walimupata na CCTV akikunywa yougat
2026-08-01 20:32:21
176
The chick❤️ :
Wangu aliingia chini ya kitanda na akalala kabisa 😳nilitafuta mtoto hadi nikapiga report kwa chief nilikuwa nafaint mara thaate
2026-08-01 10:10:51
123
@winjap :
This reminds me nikiwa primary nilikua naroll Kwa bed naanguka mpaka rungu So most times walikua wananitafuta morning niende Shule😅Deep down they thought sitaki shule but l was so innocent
2026-08-01 14:40:02
10
Sankara :
Boys are so daring
2026-08-01 09:00:39
6
carolgacheru817 :
ona wangu🤣🤣
2026-08-01 16:14:28
6
Njeri💫 :
bro yangu alilala Kwa nyasi tukicheza ,mtoto alipatikana saa Saba usiku .hatujai Lia hivyo 😅
2026-08-01 17:15:16
31
Hellen-ACCRA Fashion Molo :
Wangu aling’oa hizo milango.Ukikuja kwangu don’t judge me😭😭😭😭
2026-08-01 15:40:42
11
Lizzie_qarshie :
small siz akiwa 2yrs apo ashai sikia tractor inalima barabara apo nje ya home na the way she usesd to be scared of loud sounds..aliingia kwa neighbour alikuwa ameacha mlango wazi,to the master bedroom na akaingia ndani ya blanket and slept..sema the whole kijiji kutafuta mtoto aki...I had cried nkiimagine all the bad things zinaeza kuwa zimehappen..later after watu wamechoka.. neighbour akiwa amerudi kwake anashangaa why her bed imefura..in short alipata mtoto amelala amesweat yake yote😂😂
2026-08-01 18:06:25
25
lorro010 :
😂😂 imenikumbusha mtoto mwingine aliingia ile gari inabeba chaii akaingia hizo magunia akalala kama watu wanapima chai kufika factory mtoto anatolewa kwa gunia 🤣🤣🤣 alitafutwa aki
2026-08-01 20:49:27
10
Jynee ❤️ :
wangu aling'oa hizo Milango zote😂😂😂
2026-08-01 16:37:29
7
Sonnie :
there was a day my daughter akiwa ushago aliingia store around lunch time...Ile mlango ya store ilikua ukiingia mlango inajifunga and she was around 3yrs ...akashindwa kufungua kutoka ndani...kakalala😂😂😂
Nakwambia mtoto alitafutwa kijiji mzima,,,mpaka tukareport Kwa chief,,kurudi around 5 ndo tunaskia akililia Kwa store😂😂😂
2026-08-01 12:52:50
99
Gwedoline mary :
😁
2026-08-01 10:44:28
14
lillys thrift collection :
my gal one day nikiwa oshago akiwa 1yr alikuwa akicheza hapo nje In the afternoon Mimi nikiwa nafanya KAZI zingine then all over sudden mvua ikaanza kunyesha sema kutafuta mtoto. kila mtu alikuwa anatafuta mpaka Kwa kichaka mashimo ziko around. sahizo na imagine vile ashachinjwa. sijui ninini ilinipeleka Kwa bafu nyuma ya nyumba guess what nilipata mtoto analala. mti na matawi zilimzuia akunyeshewa lakini we ilibidi nimemnunulia viatu zile za kulia
2026-08-01 10:23:42
82
Delibra 🥰🥰 :
Hata wangu aliwai fanya ivo akiwa mdogo he's 11 now 😂😂😂
2026-08-01 17:38:46
14
Medina Friedrich 🇰🇪🇩🇪 :
Kangu kaliwai potea kakaenda kulala kwa shamba ya jirani ya mahindi . From 6 hadi 10 usiku.. Wueh..around 10:30 tukasikia kanalilia kwa mahindi.. Na hiyo tym kamekuwa kabaridi..
2026-08-01 11:44:11
9
To see more videos from user @mamakeav3, please go to the Tikwm
homepage.