@isleblogtv: #isleblogtv KAMA UPO ZANZIBAR HAKIKISHA TAARIFA HII UNAIPATA

isleBlogTv
isleBlogTv
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 31 July 2026 17:39:22 GMT
36391
1217
164
216

Music

Download

Comments

sabramohamed72
sabramohamed72 :
hatuvai helmet wasituzinge
2026-08-01 05:02:38
5
amirjuma8
Amirjuma :
Ongeni tu ila usito mfano na nchi nyengine,, tuangalie znz kam znz izoo fain kubwa kulingana na uchumi wetu sis kama znz,, munatowa mfano dubai,,
2026-08-01 04:03:16
19
khamis.saidi06
khamis Saidi :
daaa watu wa napenda tu kuongea lakini hizo fain ni kubwa sana
2026-08-01 04:46:59
8
sule08512
sule :
Brilliant 👏👏
2026-07-31 22:54:00
0
muntazy.4
kofia za oman :
boresheni uchumi sio mi cameraa tu kukomow watu
2026-08-01 06:55:50
1
mrfixer00
Mr Fix305 :
Kwa nini serikali hizi pesa zote wasikae nazo wao halafu sisi tukaishi free bila ya pesa, maana si kwa ukubwa wa faini hizo😳
2026-08-01 06:03:13
2
imir837
imir :
speed 50 kwa airport siungi mkono afadhali 60 basi
2026-08-01 07:17:38
1
salumsalum101
MR KAS :
😁😁😁 speed 50 wanatuchezesha saana mbona
2026-08-01 03:07:32
3
fahad_rawahy
فهد الرواحي :
Ni jambo zuri ila faini viwango vyake vikubwa sanaa haziendani na hali za wazanzibari
2026-07-31 23:35:43
1
umar10778
Umar :
Naomba serikali iangalie suala la emergency namuahisha mgonjwa hospitali nimewasha hazard light inakuaje kuhusu hili ?
2026-08-01 04:30:26
1
mrknows13
aladinho 13 :
Faini ya Zanzibar kubwa kuliko Dubai 😅
2026-08-01 12:44:27
0
rmoh26_
rmoh26 :
mwez mmoj tu hazifny kaz ten😅
2026-08-01 06:34:13
4
user741607841351
Khan mpemba :
maisha magumu znz yana kuja sasa
2026-08-01 06:59:13
0
hajizanzibartourguide
HAJI FRANÇAIS À ZANZIBAR🇨🇵 :
wanachukua mikopo wanakula wenyewe..halfu wanataftia watu sababu walipe
2026-08-01 10:53:02
1
swahibcosmetics
Swahib :
1 inakuaje upigwe faini kwa kuongeza speed halafu speed iwe 250000 2 tunaomba magari ya serikali yawe ndo mfano 3 kwa maoni yangu msafara wa Rais utembee speed ileile kwa katika kubeba uzito wa hilijamno 4 je ni kweli itapigwa faini gari la serikali kama ni kweli nani analipa faini ile 5 kila gari la serikali linapopigwa faini lionyeshwe kwakutumwa katika social media ili wananchi tuone kwamba hii sheria haipo kimatabaka
2026-08-01 05:57:52
2
modred04
Modred04 :
haya tuone izo ajali sizitokee
2026-08-01 10:36:59
0
abdullnurbillhussn
Abdulnurbilhusni :
huo sio usasa watu wanataka pesa za watu za Kody deni kubwa walilokopa hakuna usasa hapo
2026-08-01 04:50:59
0
djrastasule
dj rasta :
nikiizipita2 kamera resi kama kawaida😁
2026-08-01 09:27:00
1
khamis.muhunz
Khamis Muhunz :
kwani hizo fain hazijawahi kutozw kwa camera? coz ukienda nungw zipo n fain unapgwa
2026-07-31 18:42:20
1
alsuleimaniy
Triple 'S' :
faini kubwa sanaa semeni ukwel msiogope camera kw uchumi gan tulokua nao wa kulipa faini kubwa km izo
2026-08-01 06:33:52
0
muxeven_____4790
🇵🇸MUXEVENEBLEH🇴🇲🇦🇪.❤️💪✅ :
hapo pesa inatafutwa kwa nguvu, shida hakuwez kuwa na usalama wakat alama za barabarni zinapopaswa kuwekwa hazijawekwa 🥺
2026-07-31 22:21:28
4
bintizanzibar
Bintizanzibar :
Bandua tu namba biometric inafanya kazi huna pa kukimbilia.
2026-08-01 04:45:47
1
user2302852442859
user2302852442859 :
unajua shida ipo wapi hatuwez kuwekewa kamera kwa sababu hatuna njia ya mwendo kasi kama sisi tuna haraka wanatuzingua mm leo nimepita mabio sanna maana nimesahau ah mi cjaikubali kwa hiii kwanza tuwe na miundo mbinu ndo tuwekewe hizi na pia wangeanza na faini ndogo
2026-08-01 07:27:59
1
bayser_83.com
Bayser :
Mim naomba izo camera zitoe ushirikiano pia yanpotokea matukio ya kihalifu, hondo zikimbiwa.nakadhalika
2026-07-31 21:29:17
3
nassyin5
El-Ismaily :
Hata Tanganyika hakuna 😁😁
2026-07-31 21:37:55
1
To see more videos from user @isleblogtv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About