@come.tv.tanzania: Inawezekana Waislam waliona mbali juu ya kuoa mke zaidi ya mmoja! #dodomatanzania #somalitiktok #kenyantiktok🇰🇪 #bujumbura_burundi #rwandatiktok🇷🇼 #zibabwetiktok #mbeyatikto #burunditiktok🇧🇮 #kampala_uganda #uganda tik tok #southafricatikto #mtwarandiok #nairobitiktokers #daressalaam #diamondplatnum #BUNGENIDODOMA #tamuchungu #mozzarella #kinshasa #congolai
Kuoa mke zaidi ya mmoja sio suala la Waislamu kuona mbali maana Sheria katika Uislamu amepanga Mungu na si Waislamu kujipangia wenyewe
2026-08-01 00:51:05
41
Tito Kiwale :
Ni imani ya mtu tuu hakuna mahali kwa biblia imekataa kuoa zaid ya mke mmoja thats why I'm Christian and nmeoa zaid ya mke mmoja pia
2026-08-01 07:26:27
6
jay Z :
sio kwamba sisi waislam ndio tumeona laaghasha ila mungu anatujua waja wake kuliko sisi tunavyofikiria kila sifa njema inamstaki Allah muumba wa kila kitu
2026-08-01 08:41:42
7
Hroudland :
Ali Khamenei mwenyewe alikuwa na mke mmoja.. sasa uyo jamaa kamzidi uislamu Ali khamenei
2026-07-31 20:48:46
5
seiphshaphyy :
waislamu tujuwaneapa
2026-08-01 06:34:26
7
mo ph :
not necessarily
2026-07-31 19:44:16
2
Alawi :
Uislam sio dini ya mtu au watu. ni dini ya mwenyewe M/Mungu (Allah)
2026-08-01 09:05:21
3
rajabmuungwana :
Sheria ktk Uislam ni zaidi ya Sayansi, ili uwe Muslam inahitajika Rehma ya Allah and nothing more!
2026-08-01 06:53:42
2
mohamed mtanzania :
Allah amuongoze
2026-08-01 10:43:51
1
Tanganyika Technohub :
Mbona hizo tabia za kwetu wasukuma tunaongeza wake kama wasaidizi wa kazi na kuzaa Watoto wengi kama wasaidizi na kusimamia SHUGHULI za familia. wasukuma wanajua hiyo mbinu mapema sana
2026-08-01 07:29:36
2
suleymanirogath :
nimejifunza kituu
2026-07-31 18:59:18
4
Greatness :
kka Asante nilikua napotea
2026-07-31 19:13:22
4
Anko Tariq /// Falcone :
Kwenye Bibilia hakuna mahali kume tajwa kuoa mke zaidi ya mmoja ni dhambi. Kuna walio chaguliwa na Mungu kwenye bibilia na walikua na wake wengi tu
2026-07-31 20:39:11
3
evans tech :
brow iyo me nimeipenda san brow
2026-07-31 20:23:56
2
idrissa swahib lihidaya :
Yuko vzr
2026-07-31 17:56:13
1
smart_dodoma :
🤝🤝🤝Hii Imekaa kitaalam sanaa KaCopy Swagger yang aiseee
2026-08-01 02:01:20
1
KANYIKA MWAKOLONGE :
mbona kama unanisema mm
2026-07-31 19:47:31
1
Hafeez Zungu :
na mm nioe
2026-07-31 19:56:35
1
jazila :
mungu amuongoze
2026-08-01 11:48:27
0
bAle CuraCAo :
Si waislam....ni mungu
2026-08-01 12:03:04
2
cognitive impairment :
si waislamu ni amri ya mungu kasema
2026-08-01 11:51:13
0
Wakaka :
hii sunnah ina wafaidisha sana wanawake sema wenyewe hawajajua, lkn pia sisi wanaume hatujajua kutumia hii sunnah. hii ni moja ya code muhimu umetusanua, lkn zipo nyingi kwenye maelekezo na tunashindwa kuelewa code ambazo Mwenyez Mungu ametupa kutokea kwenye vitabu vyake vitukufu.
2026-08-01 12:19:34
0
SOBBO STORE :
swadakta
2026-08-01 12:16:38
0
lubuma007 :
Jamaa kakaa kimasilahi sio ikhras.
ila kma anafanya ibada na niimuadilifu kwa wake zake safi sana
2026-08-01 13:18:10
0
RASULI MRINA :
Yuko viziuri sana
2026-08-01 05:04:07
0
To see more videos from user @come.tv.tanzania, please go to the Tikwm
homepage.