2k kwetu Kenya ni sukari 4kg 😅😅lakini Uganda ni shamba acre 20 😅😅😅😅
2026-08-04 14:31:01
13
igbayinniayomisesebe 🇶🇦🇶🇦 :
pro i wish i knew you earlier ikiwa high school hii pekee niko 18 marks
2026-08-01 12:00:54
17
ali chemusto :
proffeser I stopped in p3
2026-08-03 17:09:20
1
Kilimanjaro Adventure Kenya :
uwe macho na makini katika maisha; usipokuwa makini unaweza kupitwa na fursa au kudanganywa, na mambo yaliyo wazi hayahitaji kuelezwa kwa mtu mwenye uelewa.
2026-08-01 10:19:12
20
African Youths Forum :
[Photo]
2026-08-01 17:03:22
3
Big Daddie :
🤣🤣🤣🤣🤣 nimekwama hapo kwa handing'wa handing'wa
2026-08-05 18:27:50
2
Engineer Ohiso :
Aaaaah! Professor hii ni ya wapi😁😅😅
2026-08-01 09:28:27
4
Abidjah parmah Nick maduscar :
mtu ambaye amelala yaani mtu ambaye hayuko makini na mambo anaweza kupitwa na fursa au kudanganywa
2026-08-04 12:43:45
8
Charlie :
c kutafusiri Hila sijawai lisikia Hilo😆😆😆
2026-08-01 08:38:47
10
Anderson :
so huyu prof wetu huongea kiswahiliii,, na pia huchekaa😂😂
2026-08-02 20:18:17
2
Naseeb :
nlikuwa napata insha 35 and above lakini sikuwahi litumia😅
2026-08-01 09:05:08
7
Kilesi Allan :
tumia Kiswahili ya Kenya bro
2026-08-01 09:44:33
7
Hesbon :
1tamu
2026-08-01 11:46:23
3
Mwanangu omuh. :
Najua tuko wengi tuna blame speaker za simu yetu kwa kutopata majibu sahihi.
😂😂😂
2026-08-01 16:31:44
2
PRINCE SAM :
sisi watoto wa sai tunasoma CBC hatujui hadingwahadingwa ni nini
2026-08-02 11:50:03
5
user6767732866554 :
ata jibu sikupata.. music sound too loud
2026-08-01 20:00:54
2
NOTORIOUS 911 :
Mtu aliyelala (au aliyezembea) hasikii njaa wala hatambui kinachoendelea karibu yake.
2026-08-03 15:55:16
1
WANUNDU RONALD :
you have remind me about Mobutu seseseko kukumbuzu
2026-08-03 04:24:28
1
🅙 🅐 🅜 🅐 🅛 :
You were sleeping, you were awake, you were not told to eat.
2026-08-03 17:51:15
1
Akuach Martin :
first time seeing prof Lumumba laughing 😁
2026-08-01 19:14:35
1
SAM :
We can't forget those wise words back in high school proff😂🥰
2026-08-01 09:02:44
1
To see more videos from user @el.matuidi, please go to the Tikwm
homepage.