unachokizungumza nimetoka kumwambia jana nitakupenda kwahali yoyote uliyokua nayo nisipokueka sawa kisaikolojia mimi nani mwengine atakaekueka sawa najua hutosahau ila utakapoyakumbuka yaliokuudhi bc hauwez kuumia km mwanzo😔
2026-08-01 12:26:11
2
seeyah💖💖 :
𝕞𝕞𝕙 𝕞𝕡𝕟𝕫 𝕨𝕒𝕜𝕠 𝕒𝕟𝕒𝕣𝕒𝕙
2026-07-31 19:48:03
3
reenafrican :
nashukuru mungu Amenipa kama wew jaman wanawake msichoke kuomba mungu atawapatia tuh jaman msikate
2026-08-04 11:45:43
1
KVN BLAZE :
apo ulposema matatzo yke yakwangu pia 😂😂😂 umekosea bro
2026-08-08 04:31:51
1
ladyqueen@8027 :
Daaah yaani hata sielew kama niko single au laa mungu anisaidie 🙏🙏
2026-07-31 22:18:43
1
stellah ❤️🇹🇿 :
sinimpate mtu atakae nielewa tu nikiwa sawa na nikiwa sipo sawa aniulize tu japo hali yangu mana nimechoka kumiizwa jaman 😭😭😭
2026-08-03 22:07:15
1
Winifrida Stefano :
ila unajua nn kaka mi nakukubali sana tufundishe kaka mi nakuelewa aan
2026-08-01 19:33:35
4
Emmanuel Kavvishe :
dah... kweli bro
2026-07-31 18:31:59
0
Asuu, :
hii inafaa kwa kumwambia boy pia
2026-08-01 12:21:22
1
snow :
my man hvyo ndio ananiongelesha
2026-08-06 22:37:17
0
Mariam William :
Ivi wanaume waiv kwa saiv wapog kwel jaman🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
2026-07-31 19:50:53
1
Jenny Fannyxe :
bro hasante sana sahiv namaliza kutumia mbinu hio wallah ameniambia kila kit thank you so very much🥺
2026-08-08 22:10:56
0
nabeelah_380 :
2026-08-08 20:06:03
0
Sarah :
maneno nimepata bado uyo mtu wa kumwambia sasa
2026-08-07 08:31:56
0
kukumo :
nimekuelewa bro
2026-07-31 18:34:52
0
To see more videos from user @boilee_, please go to the Tikwm
homepage.