@madawa8044: kazi ipo 🤣🤣BIBI ALAFA

Mr madawa 45🌍
Mr madawa 45🌍
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 31 July 2026 18:31:30 GMT
32657
1216
89
155

Music

Download

Comments

user1136980375070
sofina mtenga :
pole mama
2026-08-02 07:55:16
0
veronicaroberts514
Veronica Roberts :
ivi kwann umepost ivideo😭😭😭😭😭😭
2026-08-02 10:25:21
1
beatricemmanuel512gmail
💝💝 :
mmmmh🫨
2026-08-01 13:46:41
0
nadya.shirima0
Nadiar :
ni bora kumsaidia kuliko kumrecord
2026-08-01 18:00:40
17
user55166559475
mamamunira :
jamani tukumbuke wazee wetu jamani😭😭😭
2026-08-01 14:13:35
12
bethwell32
official Bethwell💫 :
anachekesha kama sio bibi yako😳😳😳
2026-07-31 18:36:16
22
user7524587742959
inno shombey :
nikajua nimeshamaliza kuona vitu vyote kwenye hii dunia kumbe bado sana
2026-08-02 08:50:10
5
chitablock
CHITA BLOCK :
ni hery mwisho mwema zambi zinamtesa
2026-08-01 16:13:12
2
user8141826354631
Patricia cute :
eti kumbe ata kama ndio maisha magumu mungu atusaidie tuwe na miisho iliyo mizuri inaumiza sana☺️😊
2026-08-01 13:16:38
5
prences9._
MAKARE FAMILY :
mmh hii hata sio ya kupost 😭😭😭😭
2026-08-02 06:00:27
4
julianamakoba861
Juliana Makoba :
mungu wangu jamni au ni muvi au kha
2026-08-02 17:32:43
1
tinnafrank1
tinnafrank :
jmn huyu mama anachekesha kama sio mamaako ni kweli huyu hana wa kumsaidia sina tu uwezo mi ningemsaidia jmn😭😭
2026-08-01 18:12:19
7
bintiomary0
🥰mirheart❤️ :
huyu bibi anakaa chanika
2026-08-01 13:31:50
2
2319reginaa
Regina ❣️ :
dah dhambi 🥹🥹
2026-08-01 20:28:27
1
user83958025570
user83958025570 :
subhanallah 😭😭😭😭
2026-08-01 10:35:28
3
salome.mtandala
Salome Mtandala :
Dunia imefika mwisho jaman.,ata sio swala lakuchekesha
2026-08-01 14:58:20
1
yanick272
Mars Shamsidini :
Dah mungu tunusuru 🤲🙏
2026-08-01 22:54:34
1
baby.l621
@baby L ♥️ :
nisamehe mungu nmecheka kama mazur
2026-08-01 15:43:16
1
fausteredson622
Fauster Edson :
inachekesha kama siyo ndugu yako 😭😭
2026-08-01 19:02:04
2
aminabudhiri
amina mjumbe :
daaah
2026-08-01 10:30:53
1
carolinakiyeyeu
Carolina Kiyeyeu :
daah inahuzunisha sana jaman ee mwenyezi mungu tusaidie sana
2026-08-01 18:44:31
1
user5706305617912
anna :
daah jamaniii 😔
2026-08-02 19:52:32
0
user2869713275586m
🥰💪mamayao047 :
Woooooiii 😢 mungu wangu🥹 jamani mungu wakumbuke wazazi wetu😭
2026-08-02 19:18:00
0
To see more videos from user @madawa8044, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About