@najeycosmetics: #najeytips #beautyhack #najeycosmetics

najeycosmetics
najeycosmetics
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 31 July 2026 20:11:39 GMT
221090
6631
317
1468

Music

Download

Comments

user35238181920284
sheilah bonnets 💝 #Dodoma :
palmers body butter ni mazuri jamani
2026-07-31 22:16:18
15
babyney99
baby :
hiyo serum ya priment bei gani???
2026-07-31 22:16:00
5
dee_officially
𝐷𝑒𝑒_🦁 :
hiyo sio sugu au macho yangu
2026-08-02 11:58:26
8
dreamyluna31
🌸dreamyluna🌸 :
Hiyo ni cocoa butter nasio mafuta ya mgando tu 😁😁😁
2026-08-01 04:11:16
14
theddyc4
ᥫ᭡Theddyᥫ᭡ :
Next time tumia kijiko cha plastic au mbao siyo chuma🔥
2026-08-01 05:17:38
59
ikaah22
Angela :
watu waliokariri mafuta ya mgando ni vaseline na baby care tu jamani, tusome jamani tusomee😂😂😂
2026-08-01 15:13:36
74
minnahoutfits2
minnahoutfits💕💕💕 :
Ayo sio mafuta ya mgando ni cocoa butter madam
2026-08-01 05:35:03
21
bonnah_makeovers
🦋🐾Bøņņäħ🐾🦋 :
Trust me nimefanya hivyo hivyo leo. Kama Mungu mafuta yangu yaliisha na Piment nimeifata kariakoo 😂😂 haraka bila pingamizi
2026-08-04 16:24:36
0
hax167
Hax BARBIE :
Location
2026-09-09 18:17:42
0
bi.nyau510
mwamy59 :
unajibu comments zote vizuri mpk nmekupenda wallah😊
2026-08-02 07:47:48
14
mrs.yucesoy
Culinaryarts and wellness :
Unanunua wapi mafuta dear 🥰
2026-08-19 10:48:30
0
fiona433
Fifi06 :
next time tumia kijiko cha plastik au mbao kuchanganya sio chuma
2026-08-01 05:43:40
7
ocscha
🤲🙌🙏😊 :
naomba kuuliza hizo serum hazichubui??
2026-08-18 07:04:43
0
aggie_love0
@ggy🍀 :
Yale mafuta ya ngombe ya mgando pia naweza changanya na serum
2026-08-05 13:08:17
0
aishalugoma
Aishacake& bites :
kama ni body oil naweza change nahy serum ya collagen nkapaka na usoni
2026-08-03 11:30:58
1
jessica.kaponda
Jessica Kaponda :
nitumiye namba yako dada
2026-08-03 11:23:39
0
yonidetox8
YONI DETOX :
🥰❤️naji wewe si MWARABU ❤️🥰🥰❤️❤️❤️❤️
2026-08-04 14:15:16
0
julianaezkieli
julianah :
hayo mafuta ya mgando unayo dukani kwako
2026-08-04 11:27:23
0
user105590066578
@dianaleonard :
unapaka ad uson? na unaweza kuweka mafuta ya mgando yeyote au
2026-08-07 19:48:58
0
tausi.ramadhani7
Tausi Ramadhani :
we najma kwa post hii lazima nije ofcn c bado upo palepale?
2026-08-03 02:54:58
0
anna_cosmeticsstore
Anna cosmetics02 :
Kibomu cha mwaka wa mbele
2026-08-12 22:13:04
0
praise.ndutu5
Praise Ndutu :
upo vizur mahi kama nije unichotee kidogo😅😅
2026-08-04 09:13:53
0
madina_collection0
Madina collection :
seram ya wix ni sawa?
2026-08-03 05:18:56
0
gtrude06
Trude🎀🧸 :
Weus wanapaka dada
2026-08-01 18:00:34
0
faiza_ally5
Faiza Ali :
Inapakwa hadi usoni au
2026-08-02 08:03:31
0
To see more videos from user @najeycosmetics, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About