@isack.pate: Sio kila zawadi hufungwa kwa utepe... nyingine huja kama mtu anayekupenda kwa dhati na kubaki kando yako katika kila hatua ya maisha. 🌹 💬 Kama una mtu ambaye ni zawadi ya maisha yako, mtaje kwenye comments au mtumie post hii amjue jinsi unavyomthamini. ❤️ ━━━━━━━━━━━━━━━ 📢 Biashara yako inastahili kufikia watu wengi! 🚀 Tunapokea matangazo ya biashara, huduma, matukio na brand partnerships. 📩 DM au WhatsApp: 0683 077 079 ili biashara yako ifikie maelfu ya watu. #IsackPate #LoveQuotes #Mapenzi #RelationshipGoals #TrueLove