@nanavijora.kariakoo:

Nanavijora kariakoo
Nanavijora kariakoo
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 31 July 2026 20:34:52 GMT
107976
4312
101
106

Music

Download

Comments

nameles791
nameles791 :
MashaAllah shughul imejaa watu wazima na heshima zao🥰
2026-08-01 04:43:30
113
user4162072883907
falhati :
ila sabaha bado mrembo azeeki jaman
2026-08-01 03:51:26
43
missj981
@missj98🥰 :
Ndugu wa Mume hawatuezi ndugu wa mke pambe tu 👌🏾🥰
2026-08-01 07:11:56
64
maidasule
Ⓜ️ 🌺💫 :
Wazanzibar tumewakilishwa vizuri😁🥰🥰🥰🥰
2026-08-01 07:37:25
15
vrittiraja
user1732060543411 :
chezea wazanzibar weye pambe tu🥰🥰🥰♥️♥️
2026-08-01 05:45:36
38
billmom6
🦋bill⚘ :
mjukuu wa taifa🥰
2026-08-01 07:14:07
9
makawideshra
makawideshra :
wapatikana wapi nataka same hio vijora napata
2026-08-01 19:43:32
2
mymanandi
user6468067702617 :
jamani naulizia hii nyimbo yaitwaje
2026-08-01 10:06:13
1
maryamiddi6
maryamiddi6 :
Teinaaa Team kopa
2026-08-01 08:43:14
1
mummy_809
Cherish :
Mpaka nimelia kwa kiwaona hawa wamama wakimpa support Mama mwenzao
2026-08-01 05:52:48
15
hijaby_queeen
hijaby_queeen2 :
kijora bei gani hiki pambe mashallah
2026-08-01 06:23:32
2
namagembe228
Namagembe :
mashaallah shughuli pambe 👌🥰
2026-08-02 14:42:40
2
lucky.dada59
lucky dada :
shughul ina watu wa maana kabisa
2026-08-01 15:48:36
4
sabiha.khamis2
rumaitham🇹🇿🇹🇿🇦🇪 zanzibar :
zanzibar hakuna matata
2026-08-01 10:11:06
3
officialsrk86
OfficialSRK :
kijora kitamu
2026-08-01 09:15:48
7
user4231781075696
it's me sabi girl 🥰🦋🐝 :
shuhuli na wwenye heshima zao mashallah 🥰
2026-08-01 07:17:30
5
user2300233899412
user2300233899412 :
kama nakuona umefurahiii
2026-07-31 22:13:47
2
arifafran0
user36073023524705 :
mashallah bi sabah mashallah mzuri sana nakupenda we mama jamani
2026-08-01 18:50:13
2
halima.sozi
Halima Sozi :
shuuli mashallah imependeza watu waeisha
2026-08-01 13:43:02
1
user6256503148762
FROLA MYOVERA :
kwa mume moto kwa mke moto
2026-08-01 07:34:17
1
subrayarraby
wastarahasumbuki :
wimbo unaitwaje
2026-08-02 19:01:45
0
ishara.mariam
Ishara MARIAM🇨🇩🇧🇮🇨🇩 :
2026-07-31 22:11:07
0
To see more videos from user @nanavijora.kariakoo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About