@sajodtravis: Hawa wakongwe na story zao🤣🤣. Inaitwa A List Podcast inaruka kupitia Maisha Magic ndani ya kisimbusi cha Dstv, wakati Uwoya anashangaa kama Wolper amewahi toka na Alikiba, wakaongezewa surprise nyingine kuwa Alikiba ndiye mwanaume wa kwanza kwa Wolper, kwa maana hiyo, ndiye aliyeitoa bikra😁. Dah🚶 Ukumbuke mahusiano ya Wolper na Alikiba yalikuwa ni kabla ya wawili hawa kuwa na umaarufu huu walionao, na kwa chapchap Wolper alitoka na Kiba na baadae Jux kabla ya umaarufu. #alistpodcast #dstv #maishamagicbongo #wolperstylish #kajala