@dyk_tvtz: #zuchu #diamondplatnumz

dyk_tvtz
dyk_tvtz
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 31 July 2026 21:01:46 GMT
60848
2901
79
78

Music

Download

Comments

kelvinmoshi561
baby girl 😘 :
tuach utan baby shower zote zilizopita ila da zuu ndy kapendeza
2026-08-01 06:17:09
16
maahruhiey4
Maah ruhiey :
zuu umeniaibish Leo Kwa mume Wang jmn... mm kila siku Nampa umbea dàah ila Leo umeamua kuninyamazsh 😂😂😂🙌🙌
2026-07-31 22:34:12
52
ashleyandati
humble 👧🏻 :
Nani amemuona Gigi money♥️♥️♥️🥰🥰😂
2026-08-01 00:05:29
18
dreamy.love88
Julian :
hiyo nyimbo sasa🥰mnamchukia Bure ..moyo wa mondy uko hapo❤️😁 hongera once more zuhura👏
2026-07-31 23:19:42
18
user921350550734
ghalyas :
kama gigy gigy
2026-08-01 05:21:47
0
ashray.sm
Ashray :
nko busy na baba levo🤣🤣🤣🤣
2026-07-31 23:38:33
8
user2192539362402
prisca mangera :
baba kama hatarudi kuziomba heee
2026-08-01 04:28:18
8
asaaali581
mamu :
hahahhh raha naona mm mieeeee
2026-08-01 05:32:29
2
chuty.chang
SALT :
ma mkwe nae hajapoa🥰🥰🥰
2026-08-01 04:46:32
1
beauty_bloom14
Beauty bloom :
Ila gigy 😂😂😂😂
2026-08-01 06:59:25
1
user6952543554744
princess :
teena rusha maneno tupa mama yawafikie mayuda wa taifa
2026-08-01 07:13:33
1
tinangimilanga6gm0
Tinah😘 :
ila baba levo kwa umbeya leo kahamia uku tena
2026-08-01 06:24:23
0
mrsmudrik
mrs mudrick 😍 :
watu wote wamejistir ila gigy
2026-08-01 04:53:18
4
marshalmq
MQ💜✌️ :
jamn ivi huyu my wa my TV mbona nampigia simu anakata
2026-08-01 06:30:40
3
azinat17
azinat :
pesazetu zakodi zinachezewa sana jamani😭 ndomana nikikopa songesha siludishi
2026-08-01 05:52:42
1
prisca9049
.&Luxury :
😅😅😅 ila waja nn hiki sas kuharib ndoa za watu tu
2026-07-31 22:24:50
7
mamaabdul35
mama abdul :
ilikuaje nimetoka rumande asb hii
2026-08-01 05:02:06
2
mumgalz04
mumgalz 🥰🥰💕💕💕 :
napenda mama Khadija 🥰🥰
2026-07-31 22:44:41
1
user0757725008
mbosso khan :
mamangu hadija Mungu Akuajaliye uzima pahali uko jamani
2026-08-01 07:26:17
0
sarah.maya.mimi
Sarah Maya Mimi :
mkenya hako apo na white
2026-08-01 07:36:49
0
cutylove7792
queentiktok.com/@cutylove7792 :
apa patamu Yani roho yangu inafuraha napenda wawe pamoja mungu awaepushe na husda
2026-08-01 07:34:28
0
petrisha6287
NARMIN💕🇴🇲 :
Tunaemuona zuchu Hana furaha basi Tu juwane 🥰
2026-08-01 07:35:43
0
user502042000845
Tuma :
Allah akuvushe ktk kipindi hiki Allah akufunguwe salama usalimini mungu akupe nguvu uweze kuishida mitihani ya dunia awe mtoto mwema dunia na Akhera hongera zuhura wa kwalinatu
2026-08-01 07:33:15
0
napee404
napee404 :
leo simuoni masha ila nimemuona gigy
2026-08-01 07:30:04
0
To see more videos from user @dyk_tvtz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About