nakupenda xan unanifulaisha na kaz yako simba nguvu moja
2026-08-01 04:33:30
7
MICKY-ZONE🇹🇿 :
Tuki😃 muwahi atapona🙏
2026-09-08 08:21:03
3
💯💯💯🤴🤴 :
me nashindagwa kuelewa hiv wewe ni mshabiki wa tim gani
2026-09-10 09:46:48
0
Roxie :
nawapenda jaman 🥰
2026-09-07 13:44:06
1
💞Vedada@%*💖 :
Mbn hamueleweki
2026-09-06 18:43:15
3
Ukhty chimaa :
Kazin chiz Nyumban Baba 🙈🙈
2026-09-06 18:34:47
3
Waziri Mussa :
Kwani huyu team gani mbna haeleweki
2026-09-08 11:54:42
2
angel🇹🇿 :
hatar unyama ni mwingi kaka❤️❤️❤️❤️
2026-09-08 10:17:54
2
jemaa atarii :
wapesana
2026-09-07 18:26:32
1
iganja brand 💯💯 :
uzuri wa huyu yupo timu yoyote
2026-08-01 04:51:50
5
Malenya Elias :
hakika huna mbaya
2026-08-01 08:07:56
1
khadija Erick dauda :
simba nguvu moja
2026-09-13 16:34:17
1
Neykidoti :
Brown umenikumbusha kipindi Cha kampeni 🤣🤣🤣🤣🤣namna watu walivyokuwa wanavaa sare y chama inatangulia juu kafunika n y kawaida akiona mkutano umechachuka sasa anatoa Ile y juu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🫡
2026-09-06 19:41:36
2
HQ WORLDWIDE :
brown simba inakupndezaa
2026-09-08 10:52:19
1
mzigua og :
huyu jamaa team gan
2026-09-13 18:09:13
1
To see more videos from user @brownchapakazi, please go to the Tikwm
homepage.