@anko.bentz: #creatorsearchinsights #viral #creatorsearchinsights #foryou #fy

Anko Bentz
Anko Bentz
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 31 July 2026 21:23:10 GMT
22607
1639
30
34

Music

Download

Comments

damkubwa01
DA MKUBWA :
Hp n wap🥺🥺
2026-08-01 07:47:53
0
prophet.td.jonatha
prophet TD Jonathan omoto :
hallelujah 🔥🔥🔥
2026-08-01 06:44:03
0
user146244328688
lewadi kayuni :
MUNGU tuwezeshe bwana usitupungukie Wala usituache
2026-08-01 08:05:12
3
user4337903699909
user4337903699909 :
warohoni wanaelewa sana hii kitu,Yesu atusaidie
2026-08-01 04:16:11
6
happylizzy1
happy@ :
Hii ibada ilikua na nguvu za MUNGU hata tuliokua tunafatilia live tumehudumiwaaa🙌🙌
2026-08-01 10:02:04
1
victor_ngailo_2030
VR4 Da Great :
Uwepo wa Mungu unaposhuka, hakuna anayebaki vile alivyokuwa. Haijalishi wewe ni nani. Unaweza kuwa rais, askari, mbunge, jaji, tajiri, au mtu wa kawaida. Unaweza kuwa na mamlaka makubwa duniani, lakini mbele za uwepo wa Mungu, kila cheo hupoteza uzito wake. Uwepo wa Mungu huvunja kiburi, huyeyusha mioyo migumu, hufuta machozi ya maumivu, na humrudisha mwanadamu kwenye nafasi yake halisi ya kumwabudu Muumba wake. Ndiyo maana hakuna anayepaswa kujivuna mbele za Mungu. Kila pumzi tuliyonayo ni neema, na kila mafanikio tuliyonayo ni kwa mapenzi Yake. Usikimbie uwepo wa Mungu—ukimbilie ndani yake. Ndipo kuna amani ambayo dunia haiwezi kutoa, nguvu ambazo mwanadamu hawezi kueleza, na upendo usio na mwisho. Tunyenyekee mbele za Bwana, maana anayepiga magoti mbele za Mungu hatapiga magoti mbele ya wanadamu. 🙏🔥 Mungu awabariki wote wanaotamani kukaa katika uwepo Wake. Amina.
2026-08-01 08:06:50
2
user5044039182494
Rusiy :
kwani Hapo niwapi jmn
2026-08-01 06:36:12
0
user9345812739373
user9345812739373 :
aminaaaa
2026-08-01 08:24:48
1
emmunahmvono218
Emmunah M :
Yan sistasahau mkesha huu ooooooh
2026-08-01 09:24:47
0
user1178206320267
Susan mathias :
nimeitamn hiii
2026-08-01 05:03:10
1
annaaddidas
annapraise :
watu wa rohoni mda wote wanatamani uwepo huu🙏🙏🙏
2026-08-01 04:59:30
2
ministerdavidemanuel28
minister david emanuel :
@minister david emanuel:goba centre dar ese salama🙌🙌
2026-08-01 09:45:03
0
regina.mbaruku
Regina Mbaruku :
tulibarikiwa sana usiku wa Jana mungu azid kukutunza mtumishi wa mungu🙏🙏
2026-08-01 08:45:56
0
user4150057276006
Matwi official :
afande Mungu akubariki usiionee haya injili wala kujitanabaisha kuwa ni mwamini 🙏🙏
2026-08-01 06:59:54
1
user554799781041
Doris :
yesu..nakupenda
2026-08-01 07:55:26
0
mariajoseph109
Maria ❤️ :
Amen 🙏 🙏
2026-08-01 07:59:06
0
user4772959531261
stella :
ameeen
2026-08-01 05:46:50
0
andrewmynessgmail
myness🦋💓💕 :
amen amen
2026-08-01 05:56:38
0
jabirychubi01
CARTER V :
usituache baba kira kweny hatua yangu ya maisha
2026-08-01 07:33:44
0
user409107712911
user409107712911 :
Mungu nikumbuke usiniache leo
2026-08-01 09:06:30
0
user7188043594172
Direct 45 :
Amen atukuzwe yesu
2026-08-01 06:35:33
1
kford.massawe
kford massawe :
amina
2026-08-01 03:32:48
0
user67155885178
sindonga :
ASIKALI WALIAMBIWA WASIWAZURUMU WATU WALA WASHIWASHIWASHITAKI WATU KWAUONGO LAKINI ASIKARI WATANZANIA WAUWAJI HATA WAKIJITAKASA BADO WAONGO TU
2026-08-01 10:10:10
0
To see more videos from user @anko.bentz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About