@annussiathahb: vitu vizuri kama vyote mnavipata ndani ya T 262 ETC ndege ya Babati & Kateshi kutokea Dar es salaam🙌🥰 @Allyharuna @PiereTouch™ #shabibyline #tanzaniantiktok🇹🇿

Annu smiling girl🤩
Annu smiling girl🤩
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 31 July 2026 21:32:09 GMT
226070
17442
288
92

Music

Download

Comments

angelatz778
allyah👑💫❣ :
dar es salaam to katesh nauli bei gani
2026-07-31 22:15:39
23
mr.bee04t
MR BEE🐝 :
nitafute safar moja isiyo ya lazima 😂😂 niende na kurudi🤣🙌🏾
2026-08-01 10:26:04
65
mgando67
Huldamgando :
dawa ya kutokutapika kwenye safari ni nini?
2026-08-01 18:13:36
7
aisherfaraj
Aisherfaraj :
Kila nikitafuta hii kazi sipati😥
2026-08-06 08:25:04
1
maombi.zacharia
Anna🦋💓💯 :
ila ayo macho😂
2026-08-04 12:52:23
2
hussenikulandera0
Jey be :
ni ya mda ya sangap hii gari
2026-08-01 02:29:00
2
hamadiy.boy
Moh☪️hamady✅ :
namuona brother haruna kwaheshima kubwa san 💪💪
2026-07-31 22:24:48
6
happyboni6
Chimumy 🥰🥰 :
sabiby haitoi ata maji yakunywa jmn Hapana 🙌🏾
2026-08-02 14:55:29
0
mtumba_wa_mwaka_wa_mbele
Merci_closet :
Awwwwwwww I’m so happy for you bby ntakuja kupanda ila sijui naenda wapi🤣
2026-07-31 23:15:56
0
kidd..hamz22
Kidd hamz ✅ :
nayce wa manyara 🔥🔥
2026-08-01 00:51:59
9
wakutachi
BoyDirector DP :
mapemaa🤣🤣🤣
2026-07-31 21:50:07
0
nourah_shayo
𝓝𝓸𝓻𝓪𝓱🤍 :
sijawahi comment ila....lop ue sana c*🥰..enewei wa kwanza mm😂unijibu 😔
2026-07-31 21:39:24
9
babyjojo642
Jojo cute 🥰 🍒💸🐦‍🔥 :
Annu wangu mwenyewe unazidi kupasuka
2026-08-01 06:10:57
0
mwandishi67
Mkumba Hj :
Idomaaa amaaaa japo sio kabila lako ila napenda kuongea lugha yenu 🥰🥰🥰🥰 mungu akulinde kipnz
2026-08-01 05:13:04
0
oktavianlwila
@OKTA DRIVER transport 🇹🇿Tz :
respect 🫡🫂🇹🇿🥰 MUNGU AKULINDE POPOTE PALE MAISHA MAREFU KWAKO
2026-08-02 09:29:22
2
nataliyafinley
lydia💝mom :
safi san ndugu yangu
2026-08-01 06:31:01
2
millian715
Millian :
Yan sahiv uhakika kwenda home.. story ztakua mob na unavopendwa
2026-08-04 22:59:07
1
didah.jose
Didah Jose :
sasa mnampango gan na Mtei jaman nawaachia babat yeye kaenda katesh tena mnamfuata huko huko jaman
2026-08-04 13:14:48
1
ajuloloya02
Ajulo Loya :
walahi mdogo wangu nakupenda toka moyoni natamani nikutane na wewe nipate picha tu ooooh mungu akuhifadhi sana
2026-08-01 00:13:40
2
geeeofficial
Gee Mushi 😜 :
😅😅😅😅
2026-08-01 12:05:08
1
edithakunambi
Editha Kunambi✨️ :
hey jmn sioni picha jan tulipigwa jmn 🥺 tulisafir pamoja
2026-08-01 19:41:27
1
chugagirl59
chuga 🥰 girl 053 :
safar ya sangap dema amaa
2026-08-01 07:17:06
1
zamy3542
zamy :
jamen njoo 2safiri na gar yang kpnz
2026-08-01 02:45:07
1
sarah.peter009
G.VONA STORE :
City ya familia zipo free tukianza na mm 😂😂🙆
2026-07-31 21:52:18
0
babrah_2434
da babrah 🥰 :
sina hat hamu na hay magari nikiyaona namkumbuka x wangu 😭😭😭
2026-07-31 21:49:23
2
To see more videos from user @annussiathahb, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About