@nicosportstz10: foryou#football #🎈🥈🥇🥈 #trending#

NICO_10⚽
NICO_10⚽
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 31 July 2026 21:39:47 GMT
81447
3931
28
64

Music

Download

Comments

user9102371086742
Cabayser Mwingiro :
unatakiwa uelewe timu ndio inashuka daraja sio mchezaji um beze kiwango chake. umetoka kuangalia kombe la dunia ivi karbuni tu france imetolewa ata nafasi ya tatu aikuipata ila mfungaji bora ametokea france mbape je utambeza kiwangochake?
2026-08-01 10:43:21
2
mjasiriamali6
MJASIRIAMALI :
sa kaisaidiaje tim yake
2026-08-01 20:59:37
2
philipo.mkude
Philipo Mkude :
kama katoka timu imeshuka ligi bs hamna kitu
2026-08-01 09:25:33
0
sharifu_524
Sharifu_524 :
wamwambie simba katunyanyasa miaka mitano kwaiyo tunataka kuanza kujitutumua tarehe 12
2026-08-01 21:46:01
0
chiefsam2026
Chief sam :
Kwangu mimi hiyo namba 6 ni bado tunajaribu kutafuta kama alivosema eng hers kuna kuwa tumepata au bado tuenderee kusaka😎
2026-08-01 21:32:46
0
amina.juma833
Amina Juma :
kweliiiii
2026-08-01 06:03:48
1
kinyowossa5
kinyo wossa :
ila mkubwa
2026-08-01 14:46:46
0
user967151139177
user967151139177 :
baas
2026-08-01 08:10:36
0
user9977981234217
answer :
uhkik
2026-08-01 03:58:24
0
machaboy34
macha boy :
2026-08-01 13:05:00
0
rosesebastian315
rosesebastian315 :
hakuna ishu
2026-08-01 09:33:26
0
fabianaloyce120894
MITHALI 3️⃣:5️⃣-6️⃣ :
Yote 9 Yanga BINGWA
2026-08-01 09:33:00
0
user5252300171269bakari
bakari :
mchambuzi wa kimataifa
2026-08-01 13:01:32
0
user7291731981185
Islamm Ally Yanga kwanza💚💛🔥 :
skudu timu ilishuka tukaambiwa yeye bora co timu kiko wapi
2026-08-01 12:44:09
0
mageuzmayira282
Mageuzi Mayila :
eeeh
2026-08-01 04:21:09
0
shannymbaruku
shanny baby 😍😍 :
timu kushuk daraja so kwamba yy ndokashuk daraja naimani na mwamba atafanya vizuri
2026-08-01 21:47:40
1
majaliwae
macha one :
makolo watakuelewa tarehe12
2026-08-01 21:31:45
0
justine.pallangyo8
Old bull family🇿🇦 :
🥰🥰🥰
2026-08-01 09:57:38
0
kaizzaboy1
kaiza boy :
😂😂😂
2026-08-01 12:45:09
0
boniphace.chezy4
Boniphace Chezy :
😳😳😳
2026-08-01 14:16:21
0
moshi.machunte4
Moshi Machunte :
🥰🥰🙏🙏
2026-08-01 23:03:49
0
To see more videos from user @nicosportstz10, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About