@hekimazamaisha: Ukubwa wa mtu haupimwi kwa umri au cheo, bali kwa uwezo wake wa kutunza siri za wengine hata baada ya kuachana nao,Kuna watu hufichua siri za watu baada ya ugomvi au kuachana. Je, unaweza kutunza siri za mtu ambaye leo si rafiki yako tena?

Hekima za Maisha
Hekima za Maisha
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 01 August 2026 03:15:32 GMT
173
2
0
0

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @hekimazamaisha, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About