dah wanaondoka vijana wazuri wadogo wanabaki akina dotto magari 💔💔 Allah ampunguzie adhabu ya kaburi na kaburi lake liwe kati ya makaburi yenye Nuru🤲🤲🤲😥😥😥😥
2026-08-01 17:45:01
4
phiyyah smile😜💋 :
kila nafsi itaonja umauti mungu atupe mwisho mwema😭🙏
2026-08-01 13:58:22
4
TONNY DE GENTLEBOSS 🇹🇿 🇹🇿 :
simjui but imeniuma any way mungu ampokee mahali pema peponi kijana mwenzangu,mwanaume mwenzangu en Mungu awape faraja ndugu marafiki wazazi
2026-08-01 13:31:05
2
mercy💙 :
yoooo😭
2026-08-01 12:52:34
0
Nah❤️🤟🏽 :
pole
2026-08-01 12:51:09
0
Ketty🦚 :
polen wafiwa☺
2026-08-01 13:51:15
0
M0M0❤️❤️ :
R. I.P.
2026-08-01 05:05:59
0
Jamila :
polen jmn tusiongeee sana jmn tutamkuful mung
2026-08-01 16:16:34
0
princess :
pole dear sote safar yetu moja japo hatujui siku Wala saa Wala dakika
2026-08-01 13:20:31
0
Pharm ronnie money❤️🦋 :
Daaah polee😭😭😭
2026-08-01 13:56:57
0
TINER STORE MUSOMA🦋 :
Aiseee Mungu Hapana 😭🙏
2026-08-01 15:07:22
0
Vick baby :
jamnii jamnii kwan mbn naumia ila mungu wengi tunawapendaa ila ww tu ni muamuzii wa mwisho 😭😭😭
2026-08-01 11:15:07
0
bi aisha :
mungu akupokee kaka akulaze mahali pema
2026-08-01 12:37:49
0
Anney💞💦🤍👄🌹 :
hakuna kitu inaumwa kama kumpost mtu unayemjua na hii nyimbo🥺🥺
2026-08-01 15:49:46
1
omikado comedian :
😭😭😭 r i p mpemba mbele yako nyuma yetu
2026-08-01 11:11:39
0
🦂💜 :
kaka mzur jaman mungu ampunguzie adhabu ya kabuli😭😭
2026-08-01 13:11:27
0
Lydia 🥰🥰 :
uwiiiiiiiii oh my god jamani alikuwa anaumwaa jomn au???💔😭😭😭😭😭🫂
2026-08-01 13:05:17
1
berina coffee 🤗 :
Pole kipenz najua unachopitia
2026-08-01 13:09:43
0
To see more videos from user @i.am.nipher, please go to the Tikwm
homepage.