@lumato_officiall: Wana simba nina wapa tahadhari mapema sana. Kuna mchanga unao hama upo Ngorongoro. Tusiusogele tutakuja kujikuta tupomefika "Machame au Rombo". Tuwe na tahadhari wana simba na wanyama pori. #simbanguvumoja #michezo #comedy #burudani