@chosenone_blog: Huyu mtoto mbona kachangamka hivi!?😀 Leyla wa Dunia anasema ana umri wa miaka 19, anasomea sanaa, hana mahusiano na hategemei kuwa na mahusiano Kwa sababu anatafuta pesa kwanza. #chosenoneblog

chosenone_blog
chosenone_blog
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 01 August 2026 04:36:07 GMT
535150
36267
670
593

Music

Download

Comments

ivan.og54
Ivan.Og :
Mjue kuna tofauti ya vibe na kiherehere
2026-08-01 10:09:14
951
offical_badriyah
Badriyah🦋 :
Uyu dada huwa apaki makeup au❤️
2026-08-01 09:17:15
127
anafijuma5
masegele306 :
vp leila
2026-08-22 22:38:30
0
lailati.khamis
Lailati Khamis :
Diamond asje akamuona huyu
2026-08-01 18:34:01
107
chinny_kisura
Vuvuzela_vevo🍓💜 :
Natarajia challeng ya hii video😂😂
2026-08-01 11:29:35
107
toss_official856
toss💙 :
Hii inchi haijakaa sawa toka enzi za corona.
2026-08-01 19:55:44
202
happyiddi85
msr jastin dog dog💍💖💖 :
kamechngamka san mpka rahaaa
2026-08-01 05:06:49
111
swalaty.yahya
Swalaty Yahya :
Kama hamjui Huyu Ali kuwa mpenzi wa philipo tweve
2026-08-01 10:24:30
36
misschioma0
Aunt baby shoppin🛒👕👖 :
me nipo busy na eleni😅
2026-08-01 18:57:09
81
tata.marwa1
Tata marwa :
naomba ruhusa nimwambie nn maana ya mahusiano mnamficha nini?
2026-08-01 07:39:34
15
vee.jojo
vee jojo :
Kamelewa 😅😅
2026-08-02 08:17:02
5
user96661925970631
bby naah :
nasubir chaleng
2026-08-01 06:12:53
12
faithhelen18
fefed :
na mm sijui mnielekeze wanaume ni vinini
2026-08-02 16:10:15
17
user6186933158781
madame G :
ila mm maheleni haya sijawahi kuyaelewa 😂😂 sijui kwa nn
2026-08-02 14:11:17
18
taysoni.maange
TYSONI LANDEI 🇹🇿🇰🇪 :
19 miaka
2026-08-01 14:44:25
11
itspedroluta7
🦅luta pedro👀 :
iiìii kumbe 19 baaasi😁😁 mdogo wangu😂
2026-08-01 06:37:20
29
leahdiomides
Leah Diomides :
et19 sijui namimi mwenye19 nisamehe nisema nina25🤣🤣🤣🙌
2026-08-01 06:45:48
27
l.e.k19
L.E.K :
wakawaida sanaa
2026-08-01 09:21:20
10
shanyte60
Shanyte ❤️🌸 :
Mnamchelewesha jmn😁
2026-08-01 06:32:35
13
missme706
@zayy :
kumb katoto ila kachangamka huyo sa hv 😁😂
2026-08-01 06:16:25
13
james.efx
J🅰️Ⓜ️E💲 🅱️🅰️H🅾️ Efx :
Ata zuchu alisema haendi yuko wapi saivi😁
2026-08-10 10:00:55
1
prince_aryan2025
Baby aryan&mom❤️🔐🦋 :
10/10 njoeni
2026-08-01 16:32:58
3
mungumwema7
mungumwema :
me nashindwa kuwaelewa
2026-08-03 19:30:14
1
To see more videos from user @chosenone_blog, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About