@joharij2: #creatorsearchinsights Asante MUNGU kwa kuwa pamoja nasi kila wakati, Ni mwezi mwingine tena ,Tunajikabidhi mikononi mwako hatuna tegemeo lingine ila ni kwako tu, Tunakuomba utujalie uzima,afya njema,bariki kazi zetu ,tuepushe na kila mipango ya muovu ,tufundishe neno lako tupate kuishi maisha ya kukupendeza wewe. Amen 🙏 🙏 🙏 #happynew month.