@ansianne.bunani: Ewe Mungu hali yangu si unaiyona Ni yule mimi tena nimekuja kwako kukuomba baba Ya uchungu nayopitia unayaona Si unasema nikisema mambo yangu kwako nitapata neema Maana leo kama jana jana kama leo Kila siku mi nalala kesho ata jana nimelala leo Eeh mungu basi kama nina dhambi sana angalia familia yangu Mwangalie mama angu Mwangalie na baba yangu Mungu wangu pia nakuomba sana bariki niwapendao Bariki masela kitaani Bariki washikaji zangu Nakuomba sana Hii ni dua yangu ya leo Hii ni dua yangu ya leo #tanzaniantiktok🇹🇿 #nairobitiktokers #swahilitiktok #kenyantiktok🇰🇪 #gospel
ANSIANNE BUNANI
Region: CG
Saturday 01 August 2026 05:45:17 GMT
Music
Download
Comments
Emmyraty Eugen :
kuna wakat nakataa tamaa kabisaaaaaa Ee Mungu endelea kunipa uvumiliv kama ulinipa mwanzo bas naamin utanipa tena
2026-09-02 06:38:57
9
aluoch 🌹 :
from my mouth to your ears loard🤲🙏
2026-09-01 12:05:26
3
JudithGeorge🦋 :
Eeeh Mungu muone rafiki yangu mtie nguvu katika kipindi hiki kigumu anachopitia 😭 kapoteza mtoto kabaki na kidonda 😭😭😭
2026-09-01 06:41:36
6
Da mamu official :
Tuanao lea mtoto na mimba bila sapoti
2026-09-03 19:14:48
2
momhansel🥰🥰 :
Nimechoka moyo unauma nimekataa tamaa 😭💔
2026-08-30 19:40:12
9
noadia de Queen 👑 :
mungu sunaona changamoto nazo pitia mungu niguse namimi.
2026-08-26 12:50:53
10
user1171754313985 :
Eeeeh mungu nione
2026-09-01 16:05:12
2
It’s Neylove❤️❤️ :
🥹🥹inaitwaje hii nyimbo jaman
2026-09-01 19:42:13
2
Christine mwikali :
Ee mungu jibu maombi ya kila mmoja asemaye Amen 🙏 🙌
2026-09-01 20:37:17
4
sh@ny_lee09 :
mpk machozi yamenilenga mungu atufanyie wepesi wenye mizigo moyoni inshaallah
2026-09-02 21:07:35
2
zizah star :
Mungu katika yale niliyokuomba naomba hili lavidonda vyatumbo niponye babaangu🙏🏽😭😭😭
2026-09-03 17:44:14
1
@itsraregyal :
mungu niponyee hiliii jerahaa kweny moyoo wanguu mungu wanguu
2026-08-30 18:25:25
1
prettymarry😘 :
Eeeeh mungu 😔😔😔😔
2026-08-30 14:44:31
2
huvivaciour :
Tunakosea lakini mungu bado anatujibu kwa wakati kamwe hawezi choka atajibu kwa wakati❤️
2026-09-01 20:33:35
2
AALIYAH HOUSE OF BEAUTY 🎀 :
So painfull🙌🏻😭😭😭😭
2026-08-27 19:22:03
1
LEBRENCE cute :
Amen🥰
2026-09-01 20:24:33
1
majoka :
umeimba kwa hisia ambayo imesababisha nimwage chozi😪
2026-08-22 07:45:43
1
Emmyraty Eugen :
Amen
2026-09-02 06:37:15
2
LAST BORN 🪘 :
Wimbo mzuri huu unaitwaje
2026-08-26 20:22:07
4
..B lyne🤍.. :
Eee MUNGU wangu😭😭
2026-08-26 20:53:13
1
Annamary :
baba nitazame mwanao nimekata tamaa niponye maumivu yangu baba😭🧎♀️🙏🏾
2026-09-02 12:11:17
1
Elysée Mat🦋❤️🇨🇩🎀 :
🥰🥰 Ma préférée
2026-08-01 22:47:20
2
Mwasham Lenatus :
umeimba kwa isia san ongela
2026-08-25 08:35:24
3
🌸Janet🪷 :
A heavy heart with no where to turn
2026-08-24 19:24:49
2
Douce Maminja :
asante Mungu wangu
2026-08-02 02:34:37
2
To see more videos from user @ansianne.bunani, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.