Mkuu ulifukuzwaga kazi nin mbona unahasira na mabosi?😁😁
2026-08-01 09:11:49
83
slim girl🍀❤️ :
Me nalipwa laki 1 siruhusiwi kushika sm wala kukaa sehemu moja muda wote na kazi ni ya spare sasa nizunguke zunguke niende wapi? 😂😂😂😂
2026-08-01 10:42:44
31
Dizaah Lee :
nimekuweka status tuu now Sina kazi🥺🥺
2026-08-02 09:12:59
1
Fau_homedecor_arusha :
sasa wanaweka wifi ya nini kama hawataki sim zishikwe😢😂😂
2026-08-01 11:20:40
8
Greysahn Edgar :
Hizi decoo tuta nunuaje mkuu tukiacha kaziii😂😂 boss ana kelele kma speaker za kariakoo zile za protector😁😂
2026-08-02 20:18:11
1
peace :
mm niliambiwa niandike barua kwakukosa nidham ofisin nimeongea na cm, kesho yake nikawaambia sipo tayar kuendelea na kazi kesho yake meneja kwenye pitapita zake akanikuta kwenye ofisi kubwa kuliko yakwao akaona aibu
2026-08-02 06:58:49
4
MSAKA TONGE OG💕💕# KARIAKOO :
Kunywa sodaaaaaaa😂😂😂😂
2026-08-02 20:00:35
0
teddious bear 🐻 :
haha Bora hata laki tatu nmecheka kwanza na yule bossi wangu na kichogo chake kama ukuta wa jela🤣
2026-08-02 08:29:58
1
Mwasiti :
acha niweke statas nifukuzwe 😂😂😂
2026-08-02 15:49:24
0
Mtoto wa baba :
Natamani niweke stutas lakini naogopa kufukuzwa kazi
2026-08-02 14:24:51
0
sashaelly252 :
haa!
2026-08-02 17:22:23
0
Mussa :
aisee mbona umenisema mm ningeweka status ila boss ataiona
2026-08-02 18:03:35
0
asterias1 :
Mbona majaribu haya au niweke status boss nimuweke kwenye hide lakini sasa atapaje ujumbe wake!😅😅😅
2026-08-02 17:32:51
0
iamlee_33 :
Kuna mmoja hapa Natamani asikie 😂😂😂
2026-08-01 11:09:04
2
Classy ladies Collection 😇👌 :
naweka status😂😂😂 ili nifukuzwe vzr
2026-08-01 12:31:48
1
Mlade 01 :
umeajuaje kaka
2026-08-01 07:48:48
1
💫topjesus efx👊 :
brow vp ni suport na mm bn
2026-08-01 06:38:42
1
Rujaynah🦋❤️ :
Bos mm 60 k
2026-08-02 09:39:45
0
irene kimario :
yani nikipost hii walai kazi sina 😂😂😂
2026-08-02 11:17:52
0
Rbyct💦 :
leo napost😂😂😂
2026-08-02 11:58:49
0
Happy 💙💙 :
😂😂😂😂😂 me nipo central
2026-08-01 08:52:20
0
To see more videos from user @katango79comedian, please go to the Tikwm
homepage.