@bongofive: Mama Mzazi wa Zuchu Bi Khadija Kopa ameongeza kuwa siku ya Sherehe ya Mama Dangote hakupewa taarifa na wala alikuwa hajui Video Nzima ipo katika Akaunti yetu ya youtube ya Bongofive Imeandaliwa na @abbrah255

Bongofive
Bongofive
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 01 August 2026 06:39:07 GMT
116219
6648
98
91

Music

Download

Comments

zayree12
🦋~zaynab~🦋 :
wanipe taarifa kwan kuna ulazima😂
2026-08-01 07:53:07
111
goldenzee0.1
🖤shadow killer🖤 :
kwan mwandishi anataka ajibiwe nini
2026-08-01 09:37:12
43
user9800687161378
mimah💦 :
anaongea vzr
2026-08-01 08:17:21
30
04izukanji
izukanji Williamz❤️😌 :
She is wise
2026-08-01 07:33:05
30
bff125
Zulfa❤️AR🦋🗞️ :
Huyo ndo khadija kopa 😘
2026-08-01 08:17:45
65
ziroseveni1
medilick sipiliani :
atukualika watu wakati unasema ukuambiwa
2026-08-01 18:18:13
2
sharon.yoyoh
UMMIE YOYOH♥️🌸 :
Aaaaah vitu Kama Hivyo me havinishughulishi 😎Clock it😂😂😂👋🏾
2026-08-01 13:18:36
22
iyerh4
Iyaah💗 :
Nyie upande wapili mpka saiv bila bila😂
2026-08-01 09:49:20
8
honestly15_love
I'm honestly 🛍️ :
vitu vdg sanaaa😂
2026-08-01 08:09:42
13
paulynendzimba
Paulyne N Dzimba :
Well Said...
2026-08-01 15:18:32
0
user81338666073365
ummy :
yupo tilalila apo
2026-08-01 18:02:04
0
kihiyozdaughter
Kihiyozdaughter :
WELL SAID MALKIA
2026-08-01 08:21:31
10
rabiamandred1
Rabiamandred1 :
kwani Kuna ulazimaa🤣🤣
2026-08-01 09:02:22
11
merinaalbertombum
Merina Alberto Mbumila :
Vitu kama ivyo mimi avinishulizi
2026-08-01 09:01:30
17
mourine.danger
Mourine Danger :
Uyu mama nampenda Allah aendelee kumtunza
2026-08-01 09:51:05
8
ireneeliamanishifta
Ceepe :
safiii Mama 🥰🥰
2026-08-01 08:51:16
7
dhilfat_hubby8
miss💦N💤 :
mi ndo mana nampenda uyu mama🥰🥰
2026-08-01 17:10:20
2
brayan.0731
Brayan 07 :
ila mama uyu pambe 😂😂😂😂😂😂
2026-08-01 09:57:16
4
masakisweetheart
It's masaki 😍 :
Nampenda huyu mama mimi😂😂
2026-08-01 08:36:25
10
faizaaxic98
swalhita_ :
Mama sio mnafiki kabisaa 😊
2026-08-01 13:36:07
2
fatmaally340
Fateema😍 :
Waandishi wambea jmn
2026-08-01 11:12:20
1
nyamandemanyama8
nyamandemanyama8 :
safiii ukwel
2026-08-01 07:55:56
3
mchuzimbodzembodze
Mama Africa🌍 :
Huyu mama mhhh 😁😁😁
2026-08-01 07:17:02
4
bazigar616
user5297777563578 :
sikujua hasaa 😂😂😂😂
2026-08-01 07:36:24
4
saumurajabu10
saumurajabu10 :
safi mama uko sahihi
2026-08-01 17:38:33
0
To see more videos from user @bongofive, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About