@ibrahim_nyange: #zilipendwa #trendingvideo #tiktanzania🇹🇿 #pyfツviral_❤ #zilipendwa

Ibrahim Nyange
Ibrahim Nyange
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 01 August 2026 07:01:43 GMT
25377
930
77
134

Music

Download

Comments

mcdinna
mcdinna :
hatari sana Juwata Jazz 🥰
2026-08-03 18:05:23
1
rodrmacallister
Rodr Mac Allister :
unaitwaje huu wimbo
2026-08-03 09:56:13
0
nurudinrmvungi
Nurudin R Mvungi :
Solo la saidi mabera ni balaa na uimbishaji wa Tx Moshi William na Nico Zengekala ni hatari zaidi 😂
2026-08-03 06:55:59
4
fatumamhina2
fatumafatuma8458 :
Na Leo hii nimefurahii umemjua mzuri na mbaya Wako!!
2026-08-01 12:44:03
3
user80784058
bravelucie :
sauti ya Nico Zengekala inaniuwa enzi zetu hizo💯
2026-08-01 09:27:36
1
cobestarfashion
CobeStarFashion :
🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭😭Daaaaah mbali sana kaka….
2026-08-06 03:11:59
1
antichama
[email protected] :
nakukubali kipenzi
2026-09-20 18:35:41
1
pendo.mosha4
pendo Mosha :
nikenda msondo inisipoomba hii nyimbo naumwa
2026-08-02 16:08:59
1
libabalagangoo
Nunu :
kaka mimi mchozi nikikumbuka kampani yangu hapo msikiti maringo mwa 83nase84
2026-08-12 20:46:35
0
khadijahassansidd
Khadija Hassan siddy :
du umenikosha sana
2026-08-07 13:18:08
0
its.cleopatra5
it's cleopatra👈💗 :
uwo mwimbo unaitwaje broo
2026-08-14 13:48:58
0
mwatwino.jr
Mwatwino Jr :
unyama mwingi
2026-08-01 09:42:33
0
user7802169188449
2026-09-27 13:57:05
0
omari.isere0
Omari Isere :
niletee wa ngurumo TOBI
2026-08-01 07:57:48
0
calry95
calry95 :
mwenzenu nakumbuka mbali sana mume wangu alikuwa anapenda sana
2026-09-26 19:23:59
0
wesaijoram
isaa :
hapo unakuwa unasikiliza RTD ,mtangazaji anakwambia baadae tutajiunga na watangazaji walioko ktk uwanja wa taifa kwa mechi ya simba na majimaji ya songea[Pray][Heartwarming]
2026-09-17 03:44:26
0
abdallah.ngale
Abdallah Ngale :
Ibrahim nyange nakukubali sana lkn wimbo huu ujaenda na sauti vizuri kifupi uko nyuma na maneno
2026-09-19 19:00:49
0
mariammpunga
mariammpunga :
Ahsante kaka angu
2026-09-25 13:19:26
0
user6034514903467
user6034514903467 :
Aisee Bro unakumbusha mbali sana nasikia sauti ya Nico Zengekala na solo la marehemu Saidi Mabera, JJB Msondo ngoma
2026-08-04 19:49:11
0
user50470146814030
Emmanuel Tete :
ahsante Sanaa tunakumbuka mbali sana
2026-08-04 13:32:01
0
zawadi.ally39
Zawadi Ally :
Baba ya muziki
2026-09-27 15:13:28
0
mwajabu.jumanne6
Mwajabu Jumanne :
nyimbo safi sana kaka
2026-10-02 13:41:00
0
calry95
calry95 :
video yake tamu mno
2026-09-26 19:25:14
0
abdallah.ngale
Abdallah Ngale :
Zamani sana nikiwa na miaka 18mpaka 22 ndani ya WAMI BAR MWANANYAMALA nikisakata msondo goma huyo ni marehemu NICO ZINGAKALA ambaye alikua kipofu imepita iyo leo nina miaka 58 daa ya kale dhahabu.
2026-08-04 20:30:39
0
jessybahrain
Jessy :
2026-08-01 08:34:35
0
To see more videos from user @ibrahim_nyange, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About