@dr.domi1: Kutokwa na damu wakati wa kujisaidia. Maumivu makali sehemu ya haja kubwa. Kuwashwa na muwasho mkali kwenye njia ya haja kubwa. Kuvimba na kutokea kwa uvimbe nje ya njia ya haja kubwa. Ugumu wa kukaa kwa muda mrefu kutokana na maumivu. Kutokwa na ute unaoweza kusababisha usumbufu na kuwasha. Kuganda kwa damu ndani ya bawasiri (thrombosed hemorrhoid), hali inayoweza kuleta maumivu makali. Upungufu wa damu (anemia) ikiwa kutokwa na damu kunakuwa kwa muda mrefu au mara kwa mara. Maambukizi (ingawa si ya kawaida), hasa ikiwa kuna vidonda au usafi hauzingatiwi. Kushuka kwa ubora wa maisha kutokana na maumivu, usumbufu na hofu ya kujisaidia.#fypシ #acidreflux #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokindia