Utafkili nikiwaga nacoment unauwaga unaona...mm nawaambiaga humu...theologia inaliangamiza kanisa...lkn watu wanaona kama huyu anaongea kiti gani.
Kama sisi sote tungeamua na kukubali kuongozwa na roho mtakatifu...yaani wachungaji,washirika tungekuwa tunaongea Lugha moja.kwasababu mwalimu wetu ni mmoja.
Lkn kwasababu ni theologia...kila mwenye maarifa yake anatulazimisha tumuelewe anavyotaka yeye.sasa mm nasema
Nitaongozwa na ROHO MTAKATIFU baaasi!!!
Nyie endeleeni na theologia
2026-08-01 19:08:52
4
marionatieno649 :
POWERFUL POWERFUL and FACTUAL 👌 🥰 👌 🥰 👌
2026-08-02 03:34:47
1
Joel MUROKI :
say hi to pastor Mpwambo
2026-08-02 13:33:46
0
Victoria John :
Amina
2026-08-01 16:38:57
3
user7878244804388 :
Amenii
2026-08-01 08:57:01
3
Gospel and Hope Ministry :
Ni kweli kabisa.
2026-08-02 17:47:34
1
Kiwango :
Hakika Roho Mtakatifu ndo injini ya Mkristo yeyote
2026-08-02 11:53:16
1
LUCAS PIUS :
Amina 👋
2026-08-01 16:26:30
1
BENEDICTION tz :
AMEN 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🔥
2026-08-01 09:30:34
2
NEEMA YA MUNGU :
UBARIKIWE MTUMISHI WA BWANA🙏🙏🙏
2026-08-01 11:51:15
2
Abihud abinus :
ameen
2026-08-01 19:07:01
1
VICTOR PAUL :
amen
2026-08-01 16:46:50
1
Jenesta :
amen
2026-08-01 15:03:06
1
Michael255 :
kweli kabisa mtumishi, wengine Wana kuwa wachekeshajitu
2026-08-02 18:14:32
1
mosnery baba b kubwa :
Wambie nawaambiaga awanisikii,tena wakisimama wanatambulisha mpaka wameambaatana na washenga wao,wananiuzi mm
2026-08-02 18:56:21
1
Philemon Mwase :
kweli kabisa
2026-08-01 17:18:36
1
Yona Timber & Furnitures :
Ameni pr nakuelewa sana Bwana Akubariki Sana
2026-08-01 15:19:39
2
mauwafaida3 :
Amen
2026-08-01 20:10:23
0
Agnes Akai :
Ameeen🙏🙏🙏
2026-08-04 20:02:17
0
Djo chris :
amina
2026-08-04 19:04:02
0
John Boke :
🙏🙏🙏pr Joshua tunaomba na pia tuna kualika makambi yetu uku boder sirari Kenya kanisa ni nyamaharaga south kalibu Sana mtumishi
2026-08-04 18:08:58
0
Anna Mwanjabara :
amen
2026-08-04 16:15:58
0
PWEZA :
Nitakwenda nikimsubili Yesu . Theorojia ni kachumbali
2026-08-04 11:46:22
1
maduhu the great :
Amen
2026-08-04 10:51:18
1
Ezekiel tz :
2026-08-02 05:04:19
0
To see more videos from user @mwangaza.njiani, please go to the Tikwm
homepage.