@taimediatz: Mwanamitandao Sharifa Ali, awaangukia Watanzania akiomba ushauri juu ya tajiri wa Marekani aliyetaka kumtoa kafara miaka ya nyuma, ambaye kwa sasa anamuomba Sharifa akamuone huku akidai Sharifa asipoenda yeye atakufa kutokana na ugonjwa unaomsumbua. ✍🏿 @mariamshabanitz #taimediatz #taimediatv
pole dada naenda kamuone hawezi jua anataka kuongea nini wakati wa mwisho,wewe ndio ulikua unakaa nae mengi amekufanyia labda anataka kuongea na wewe iliumsamehe anatubu mbele Yako,naenda utabakia na amani
2026-08-01 11:28:03
14
Safari Expert | LexoAfrica🇹🇿 :
Never try Usiende
2026-08-01 08:50:10
10
lizombe :
usiende, adui hajawahi kuwa rafiki, acha tamaa, zawadi chukua
2026-08-01 11:09:17
16
Dawaa.002 :
Kamuone Dada msameh hakuna mkamilifu na uliopitia ilikua shule na unaish Sasa Mshkuru sana Allah
2026-08-01 09:46:22
6
Naah wa F :
Sauti yako ya ndani ndio jibu sahihi mpendwa wetu
2026-08-01 08:47:30
8
Mary Mwingira :
Pole sharifa nakuomba kipenzi changu siku zote Mungu ndiye kila kitu tafuta mahusiano na Mungu jifungie ndani siku 3 ukiomba msamaa kwa Mungu juu yako na huyo jamaa kwa uaminifu kabisa baada ya hapa Mungu atakupa jibu
Ishu ni deep…pole sana dada ww kiukweli unapitia mengi sana hakuna cha kufanya ila kumuelekea Allah soma sura za kinga ..qul huwa Allah (7) qul audhubiral falaq (7) qul audhubirabbinnas (7) na aya kur-si (7) na kama unajua dua za kinga pia soma dada (bismillah lladhii la ya dhurru ma’asmihii shaiun fil Ardhi walaa fissamaa wahuwa ssamiiul a’aliim (7) ..halafu tawakkal ala Allah halafu nenda kamuone utakuja kunishukuru.tunakupenda sana. Allah akufanyie wepec soma dua zote za kinga halafu nenda.
2026-08-02 06:22:46
2
user3555348813700 :
Sharifa mdogo wangu usijaribu kwenda tafadhali Wala uspokee chochote kutoka kwake
2026-08-01 16:22:07
6
Eluka Pallangyo :
😢😢😢😢..Narudia kukusikiliza kila wakati..nakisihi Nenda My dear usiogope.. nakuhakikishia anajutia Maisha yake ya nyuma Mungu kampa nafasi ya kutubu basi na ww usimkatalie mwenzako yuko kwenye hali ngumu!!😢😢Mwenye Makosa husamehewa kama akitubu..na ndicho anachokifanya huyo Baba..Nakuhakikishia akija kufa na alijaribu kutqka kuomba samahani na ww unamkatalia Sharifa utaumiaaa kuliko hivi unavyoumia..Nenda Hata Mungu atafurahi ukimsamehe sbb umefanya kusudi lake litimue..
2026-08-01 08:22:22
13
BOSS LADY :
hta mm nina cancer lkni anaweza kupowa na mukaishi
2026-08-02 08:03:03
0
masala02 :
Usiende dada
2026-08-01 13:38:32
2
NajatNajlat :
Dasharifa nakuomba dada
usije ukasubutu ikiwa alikukosa kukutoa kafara
unajua kamahuo nimtego unakuandama kwamara nyengine anataka ukamuone unajua
kutatokea nini huko please my sister ❤️hebu kaachini utafakari kwakina swali umuombe mungu wako
2026-08-01 13:37:01
9
DAVID BALLENCIAGA :
mpigiee mpepole. msamehe. usiendee. huko wasijesema wewe ndo causation. usiende pole mwee
2026-08-01 20:07:50
0
allymshamu :
usinde dada
2026-08-01 09:06:41
6
Amy kendy07 :
mdogo wangu nakuusia usiende ila nakushauri simama usiku muombe mola wako akuoyeshee hilo jambo ni sawa kwako au laa usiache kuomba naamini kila kitu kwa ajili ya Allah pole sana kwa wakati huu mgumu
2026-08-01 16:55:19
2
Fatuma :
USIENDE MWANANGU
2026-08-01 16:13:03
3
mama_hasheem1 :
usiende ,apige simu akuone live Kwa simu
2026-08-02 12:42:19
1
Tiffe Masanja :
achana nao hao watakutoa kafara hao, achana nao
2026-08-02 09:58:11
1
user3562771334487 :
usiende dada bado tunakuitaji kukuona. Mungu akuondolee uchungu.
2026-08-01 20:05:59
3
To see more videos from user @taimediatz, please go to the Tikwm
homepage.