@sat_media_: Kama Kawaida yake Mambaz 24 dudubaya atia timu katika Shoo ya Msanii ngul wa muziki kutoka Uganda, Jose Chameleone wakati wa Tamasha la Bongo Flava Honors Season 4. Akizungumza jukwaani, Jose Chameleone alisema Dudubaya ni rafiki yake wa karibu, na kwamba alimualika binafsi kushiriki usiku huo wa kihistoria uliowakutanisha wadau wa muziki wa Bongo Flava #BongoFlavaHonors #Kigamboni #KigamboniYetu #Tanzania #SATMediaUpdates less
SAT Media
Region: TZ
Saturday 01 August 2026 08:14:29 GMT
Music
Download
Comments
mkama :
safi chamilion unajua braza whach u back😂
2026-08-02 04:47:43
1
hybtrr€£¥*;& :
mambaz twenty four
2026-08-01 20:15:25
0
@Peter Osward :
atatukana wakimpa maiki
2026-08-01 11:16:22
20
Ramlat14 :
keupeeèeee
2026-08-01 16:56:31
0
mwanga :
ilaa MAMBA anayafanya maisha kuwa mepesi sana hapo keupe kashakubali
2026-08-01 19:16:40
11
electric eye :
jamaa ana positive energy ana mvuto chameleon kaimba hawajamtunza kaja dudu wameanza kumtunza mpaka kaachia mic mwenyewe
2026-08-01 17:21:07
11
Peter Sila :
jarbu apate mike mskie
2026-08-01 16:32:06
6
Salagandß de_YG :
hapo dudu baya hajaongelea mambo ya kupigwa miti sababu anamuheshimu chameleon
2026-08-02 08:18:43
5
Michael Seko :
Dudu Baya Tuko Pamoja Sana Tulianza na Wewe Na tutamaliza Na Mambaz 24
2026-08-01 16:21:16
6
mathiasdeson :
mabazi 24 haikwepeki😄😄😄
2026-08-01 10:58:22
4
EMIRATES NIGHT CLUB🔥🇹🇿 :
apo kwer akweeki
2026-08-01 11:02:45
3
Baba Dida :
Hapo Kalewa Vibaya
2026-08-01 17:59:06
4
Landmarkmagaritz :
wajuaji wapo sehemu zote duniani
2026-08-01 19:00:04
3
KIBA _🦅🍁 :
Dj alishaweka mkono kwenye kitufe cha kuzima mziki
2026-08-01 20:48:55
4
chocolate :
chameleon Yuko vizuri sana
2026-08-01 15:00:42
1
manka judy :
sisemi kitu 😁😁
2026-08-01 10:20:06
2
El_panda :
Mambaz 24
2026-08-01 13:04:21
1
magambo :
tatizo ulivi
2026-08-01 17:11:44
1
Kefa JJ' Purity :
SEMA dudu analewa sana hebu wanaomzunguka wamshauri
2026-08-01 20:58:13
2
user3415904086017 :
Ila Dudu
2026-08-01 12:26:25
2
deo msingapore :
Asipeee maik
2026-08-01 11:21:49
1
Macoboy :
say yes ndo nini sasa
2026-08-01 11:18:01
1
Danstan Daniel :
dah
2026-08-01 11:19:08
1
deo msingapore :
wanamshangilia
2026-08-01 11:22:40
2
To see more videos from user @sat_media_, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.