@mtotwabaharia: #wasafitv #CapCut #washandstyle #zanzibartiktok @ELIM MITAANI.COM @Zembwela @BBC News @bbcnewsswahili @mcshondelive @Radio 47 @wasafitv

BAHARIA⚓️
BAHARIA⚓️
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 01 August 2026 08:21:02 GMT
21898
766
220
72

Music

Download

Comments

binjabir45
Bin jabir :
Nimeskia. mianastending. kdg😂
2026-08-01 20:26:47
1
bubles_luna7
vidog :
washa harzad na light
2026-08-01 20:02:30
1
officialmubah6
Officialmubah21 :
jamaa yng we hiii nchi itizam tuh😂😂😂😂
2026-08-01 14:01:46
16
fluku148
fluku 148 :
zile picha tunazo pigwa kwani ukenda mawasiliano unapewa ile picha mana mimi zangu wanazo kama tano
2026-08-01 16:21:06
11
edizo.shooter
EDIZO SHOOTER :
polisi asiwe sabab ya kukufanya uvunje sheria 😂
2026-08-01 13:59:33
6
said.mohammed059
Said Mohammed :
shida ya sheria hizi anae tunga yeye anaendeshwa
2026-08-02 12:43:32
1
ghurayra
Ghurayra :
Au askari akituita tufanye kama hatumuoni sasa 😂
2026-08-01 12:36:27
7
abuu_19
Abuu Reelan :
toa plate number
2026-08-01 13:55:05
5
juntos.tour
Island soul & safari :
😁😁😁umeuliza swali zuri sana ndugu
2026-08-01 10:34:03
8
omilizodunia
Omilizo Dunia :
iyo mm nishanitokea mzee
2026-08-02 04:26:37
1
uprising501
uprising501 :
Tafuta usafiri wa kucharge
2026-08-02 04:14:46
1
andreaandrea6190
andrea :
nakubali kaka ujakosea
2026-08-01 19:02:09
1
khamissaleh997
Khamis Saleh :
tunataka kuibiana tu
2026-08-01 19:13:13
1
anwaric2
Aنwar :
wakizima sisi tunaunganisha tu
2026-08-01 13:58:15
9
issa.juma24
Issa Juma :
kwel kak watupe jibu
2026-08-01 19:28:26
1
user0778000889
Ali aliy :
janatuu Imetoteya
2026-08-01 18:08:54
1
msinzia
R10 :
Bro kila kitu kipo active ondoa shaka watu wanalipwa kwa kuangalia hayo matukio tu na hiyo ndio kazi yake ni kuagalia screen tu kila Angle
2026-08-02 12:41:52
3
reyhussein1
reyhussein :
natafuta kazi jamani niko zanzibar ata kuuza duka🙏🙏
2026-08-02 14:27:26
0
user0778000889
Ali aliy :
baba weacha tuu
2026-08-01 18:08:22
1
allybakari97
allybakari97 :
Kaka minajaribu kukujibu popote pale panapokua na askari traffic anaongoza vyombo basi hata kama kuna taa za barabarani basi madereva wote inabidi kufuata maelekezo ya askari police maana hizorisiti kunawatu wanapitia matukio yaliyochukuliwa kwa kamera.
2026-08-01 20:47:34
1
kombo7329
KOMBO :
ndio maana tukatakiwa twende driving school ili tukajue sheria na kanuni za usalama barabarani na sio kwenda kwaajili yakupata leseni tu.
2026-08-01 18:07:55
3
sandy.saleh46
sandy :
utalipa tu
2026-08-01 17:56:35
1
ginadu68
GiandudizanzibarOg :
bro Tatizo serikali ya Zanziibar inakurupuka kwenye sheria zao
2026-08-01 18:44:56
1
albahry6
Albahry112 :
block msafara polisi hayupo juu yasheria km sheria wametuletea wao itabidi zituhusu sote
2026-08-01 16:22:46
1
smartcar90
smart car :
umewahi kuona gari za viongozi kuziona kwa silver zikipasishwa road+bima baba
2026-08-01 20:12:37
2
To see more videos from user @mtotwabaharia, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About