@mr_vikali: New Jersey Simba🔥🔥🔥 BEI 45,000/= TUPO MWANANYAMALA A Tunatoa Huduma ya Delivery Chapu chapu NAMBA ZETU 0767429127 / 0653429126 #simba #jersey #fyp #tanzania #trendingnow
mr_vikali
Region: TZ
Saturday 01 August 2026 09:16:02 GMT
Music
Download
Comments
Swaumu Omary :
waooo umetisha
2026-08-02 15:05:25
0
Bint Malingo :
atali iyoq
2026-08-02 18:33:30
0
user4628194401866 :
Safiii,Uziihoo9
2026-08-02 17:13:16
0
Phina cute🥰🙏🙏🔥🔥 :
Nzuriiii 🥰🥰 hio Jez jmnii 😜
2026-08-01 11:41:50
0
Sofia Juma Kalomba :
ila hii nyeupe jamani nitatengeneza kibubu hirimladi tu nipate hiyo
2026-08-01 10:55:31
83
David Mhando :
umemeeeeeeee
2026-08-01 12:23:43
2
TripleN :
ni nzuri ukiiona kwenye picha ila live 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 huwez kujaribu
2026-08-01 16:07:19
15
Kassimu Mbaruku :
kwenye picha niliyona mbaya ila kumbe nzuri
2026-08-01 11:52:40
18
tatizo mabango mengi sana
2026-08-01 10:58:02
20
it's zax💫 :
eti kun mtu anaulza izo jenzi au t shirt 🤗🤗🤗
2026-08-01 13:25:22
15
Ester Davis :
Ka blue kanataka kunitoa roho uwii
2026-08-01 15:21:28
8
afyanagodfrey :
Oyaaaaaa weeeeeee
2026-08-01 10:37:09
4
omary miraj :
jezi nyeupe na blue kali sana ila nyekundu jayrutty katupiga bhn
2026-08-01 19:08:24
9
japhari kibanda :
sasa hii nyeupe au nyekundu
2026-08-02 08:23:43
0
Hamyda.G.Love❤️ :
Ntakuwa mchoyo kupita bila like🔥🦁
2026-08-01 12:45:35
9
Grace simle :
sasa mbona zimepauka kabula hazija fuliawa zikifuliwa itakuwaje
2026-08-01 19:21:15
1
@bertha simba🦁💥 :
ajitokeze mt aninunulie niandike jinalake nyuma ya jersey 😌🥰
2026-08-01 16:15:24
1
ishat :
Yani nyeupe nzur san
2026-08-01 20:04:49
1
Tudah brand :
jmn weee 👌👌👌🥰🥰🥰
2026-08-01 11:50:30
2
pc ya yanga :
hiii jezii ni zurii ikiwa ujaionaa live
2026-08-01 19:50:57
4
Africa :
jezi mbovu hamna kitu Iphone 17 inatudanganya
2026-08-01 17:14:57
2
@Chris_towntz :
sem Jez ya msimu huu mmebug n mbay San wanangu
2026-08-01 18:24:41
1
faah_actress :
Jaman iiii si mtu aninunulie hii please
2026-08-01 13:55:53
0
sangosokivango :
izo bango sasa duh
2026-08-01 11:43:31
2
To see more videos from user @mr_vikali, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.