@itscharles64: Dunia inaenda kasi sana😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂#fypシ゚viral #swahilitiktok #kenyantiktok🇰🇪

itscharles64
itscharles64
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 01 August 2026 09:21:44 GMT
62727
3332
273
762

Music

Download

Comments

user5620245421031
Mr nyanya :
asee na ukinunua mchana jua Kali ndio unaonekana firauni mwenyew😂😂🙌
2026-08-02 08:08:45
198
elhajj48
HAJI BANA :
unasema nataka mafuta na nazi Kwa ajiri ya mtoto
2026-08-03 15:45:23
71
geayson0
Geayson :
ukisoma bila hasira Kuna ukweli flani ivii
2026-08-01 19:24:51
91
bradybenard
Ben tz :
inabidi tumtume mtoto dukan akanunue😳😂😂
2026-08-02 10:41:28
23
byser_tz001
byser____001 :
Aibu utaona wewe😂😂😂
2026-08-01 14:43:10
18
its.brinah4
Its 🌺Brinah 😒❤️ :
Nyie ndo mnapgopa me ata siogopi namwambia nataka parachuti tena kwa sauti😫
2026-08-04 19:10:21
8
amirymajeedkadaw
Majeed :
saiv yamepanda bei🤣🤣🤣🤣
2026-08-02 14:08:56
6
linah0579
Linah :
yaan nkifkaga dukan nkiwakuta watu naogopa hata kusema naomba Parachut maana nahs wataniangalia mar mbl mbl
2026-08-04 15:30:22
10
nizon_.garnet
Nizon Alfred :
Kwani yana tatizo gani?🤔
2026-08-03 17:41:44
5
josephbony21
张景🇹🇿🇨🇳 :
😂😂😂 umenikumbusha mbali mm kuna mama nilikutana nae ametoka dukan kununua anayafichaficha nikayaona nikatikisa kichwa huku nacheka nikaskia kama naww unataka twende nikupe 😂😂😂
2026-08-01 19:42:54
13
itsfrida_26
its fridah❤️🥰 :
achatu mm kunamtunaliyakuta kwenye pochi yangu ety akaniambia nivilainish
2026-08-02 17:22:38
10
zanura.hassan8
zanura :
afu ni kweli , nikajua n mm ndo naonaga aibu kumbe tupo wengi
2026-08-04 10:17:17
7
litephilimo
lity💫💫 :
me hata siogopi nanua natembea zangu
2026-08-03 16:42:18
5
sattu1924
S@ttU :
vitu vyangu kabisa enzi za uhai wangu😂😂😂😂
2026-08-03 05:46:19
5
chitta.boy8
chitta boy :
jana nimeenga Kwa mangi dukan ili nikanunue nakuta watu wengi wanasubir mahitaji nimeeishia kununua bigijii
2026-08-02 10:57:20
5
de.mbule
de mbule :
mke wangu aliyakuta kwenye beg asiniamshie hvo
2026-08-02 13:43:13
5
ester.evarist
£ ❤️ :
juzi nimeona kaka mmoja anasafiri ameweka kwenye mifuko ile ya pembeni daah
2026-08-06 14:32:21
1
emmy.dimpoz
Emiliana 🍏 :
Me nashidwa kuwaelewa kabisa😂
2026-08-04 13:10:53
1
abbyclasstz
abby class :
2026-08-04 11:00:17
2
user8020615263718
Am fettie🔥🎮🧑‍⚕️ :
assume ndo naingia dukani hapa 😎NIPATIE PARACHUTE NA KIWEMBE 😂😂😂
2026-08-06 11:47:17
2
georgesteven432
micko Designer :
cc kwetu hatuna habari tunanunua bila shida kila mtu anajua ni maalum kwa ajili ya ngozi ya mtoto mchanga
2026-08-04 09:48:45
1
novo10801
user9529470589382 :
yan mpaka na nyie wanawake mnaogopaaaaa🙌🙌
2026-08-04 10:17:55
3
To see more videos from user @itscharles64, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About