@sauti.revival_tz: 🔥 Sehemu ya 3 imewasili! Huu ni wimbo wa kusikiliza huku unajifunza, salamu za makabila ya Tanzania.🇹🇿 Je, kabila lako limeshafika au bado? Tazama mpaka mwisho, toa maoni, kisha nenda usikilize wimbo kamili "SALAMUZETU" kwenye majukwaa yote ya muziki. Twende tukaupeleke mbali! ❤️🎶 #viral #tanzaniantiktok🇹🇿 #sautirevivaltz #SalamuZetu #koalyrics @Clouds Media @veko🚛🚓🌏 @Soccer Youths @youngfather255 @wakwamigu Gama @KOA-lyrics 🎶 @iam_roon

Sauti Revival_Tz
Sauti Revival_Tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 01 August 2026 09:21:54 GMT
70126
3894
124
271

Music

Download

Comments

user3461241874391
🥀Naylaa 🥀 :
Singida hatusahaulika jamn tujuane kwa ❤❤
2026-08-01 18:04:17
9
emajackson4
Ema Jackson :
wapi wanyaturuuuuuu tujuane bac🥳🥳🥳😘🥰
2026-08-01 14:19:17
12
johnmasula421
hawa mwaibula :
kamwene tujuanee wabenaaa
2026-08-01 12:24:44
9
user113672718132.j
user113672718132 jumanne nayi :
wasukuma ni kweli hyo ni ya kwetu
2026-08-01 13:53:04
10
minahsamwel
minahsamwel038 :
mofangaa oyeèe🥰🥰🥰
2026-08-01 15:46:16
3
vaysharlee
Vaysharlee😘🫦 :
wanyatur kujen apa 🥰🥰🥰
2026-08-01 12:33:36
6
swaumu.masanja75
mom :
umofanga naa njii afa😂🥰🥰🥰
2026-08-01 14:24:14
4
maojack3
JACKSON MAO :
wairaq
2026-08-01 17:48:15
0
carern.de
carern de🌸🌸 :
Wameru tujuane bwana🥰
2026-08-01 16:21:22
12
ruth.msangi
Ruth Msangi :
ulailayani au ulaele yani
2026-08-01 18:23:53
2
0635elly
it's me elly🥳 :
hapo kwa wamasai sio hivyo bana
2026-08-01 17:06:51
2
mariamsath202
Mariam Sath :
wanyiramba wote tukutane kwenye like
2026-08-01 17:38:34
7
monica.may2305
Monica Monicute ❤️ :
Wanyiramba wenzangu Molaeleyani❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-08-01 19:53:52
3
sauti.revival_tz
Sauti Revival_Tz :
Je, unajua salamu ya kabila lako? Tuandike hapo chini.✍️🏾👇🏾
2026-08-01 09:26:04
4
rehemamanyika551
ray🇹🇿🥰🇴🇲 :
watani zangu wasukuma mwadila
2026-08-01 14:07:13
1
giftmadama
sixy gal247 :
wanyiramba tujuan hap
2026-08-01 19:40:33
2
user5458729150267
happy josef :
ulalaliani vpi
2026-08-01 17:41:59
2
mihnamussa
Mihna Mussa :
umepatia san😄😄
2026-08-01 11:16:17
0
imani.john78
Imani John :
shimbonyi🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-08-01 11:45:48
8
sauti.revival_tz
Sauti Revival_Tz :
Ni salamu gani umeisikia kwa mara ya kwanza?
2026-08-01 09:24:11
1
shazmaqw45
shazmaqw :
rudia ya wairak na sio wambulu
2026-08-01 15:35:56
0
graciousmary75
Mrs Benny💞🦋 :
iza du za kwaso
2026-08-01 15:45:51
0
azy_mduma
azy_@mduma :
nimeipenda ya singda mofanga
2026-08-01 15:52:52
1
user3088494481485
moon lover :
nasichaa
2026-08-01 20:33:57
0
tatusteven6
Tatu [email protected] :
mbn wakurya sijaona?
2026-08-01 21:17:57
0
To see more videos from user @sauti.revival_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About