@bongofive: Baadhi ya Wasanii wa filamu na muziki wamelia kwa uchungu wakati akiangalia picha katika tukio la Faraja ya Tasnia liliandaliwa na Steve Nyerere katika kuenzi kazi zao na mchango wao kwa jamii ambapo dua mbalimbali zinaendelea. Imeandaliwa na @yasiningitu
Bongofive
Region: TZ
Saturday 01 August 2026 10:10:14 GMT
Music
Download
Comments
💎mohammed💎 :
ila wasanii wakilia km wanaigiza ty
2026-08-01 12:01:25
22
Bob Hans new season :
mwenyezi mungu nijaalie na anaesoma hii comment tuwahi kuondoka maana hii dunia si kitu ila ni njia tu 😎
2026-08-01 13:00:29
7
dc.gin💫👑 :
Bongo washapata challenge😂😂😂
2026-08-01 12:53:48
0
United for Carrick :
wabongo sitaki nione challenge jaman 🙏 plz😳
2026-08-01 11:22:02
3
didah sharmaah🌺😘 :
kuna msanii alifariki kwa Ajal yakugongwa na roll Alikuw anaitw Africa sana ilikuwa michezo ilikuwa inaletw east Africa simuoni
2026-08-01 15:10:48
1
Jacki€diva♎🐾 :
Set Bosco ni marehemu?💔
2026-08-01 16:14:20
0
golder :
ila huyo kijana wa jua kali aliniuma sana😭😭
2026-08-01 14:30:06
2
Tiffah chopra ❤️ :
mungu awatie nguvu wallah ina umiza sanaa😭😭
2026-08-01 12:01:21
6
BABA MII :
mbna nimeona picha ya madebe
2026-08-01 11:52:23
1
Simulizi :
So sad
2026-08-01 11:32:25
1
Mwana Yusuph :
kumbe Mzee korongo alikufa😢😢
2026-08-01 12:17:32
1
Just mama :
Mc pilipili jamani,kaenda na tabasamu lake,wote tuliwapenda,wapumzike kwa amani wapendwa wetu😭😭
2026-08-01 17:17:11
0
Aunt yake🥰🥰 :
Tesa,Dida na Pilipili 😢😢😢😢😢
2026-08-01 13:05:28
1
mariamu mohamedi 22 :
mungu awalaze mahari pema peponi 🤲
2026-08-01 16:58:24
0
LILYMAM collection :
M/MUNGU TUJALIE MWISHO MWEMA INSHALLAH 🙏
2026-08-01 12:10:26
1
MANDA ICON :
duuuh
2026-08-01 16:33:33
0
Zulfa ngwada :
kumbe adi mzee korongo😭😭
2026-08-01 15:56:46
0
dogochodo1 :
nice
2026-08-01 16:41:58
0
Mariamu omary :
mungu uwaleemu
2026-08-01 17:08:26
0
abou nuweyla :
wapi sharobaro
2026-08-01 16:22:06
0
Rosemary John :
😭😭😭 Ameni Ameni Ameni ameni ameni ameni ameni ameni ameni ameni
2026-08-01 16:18:43
0
Mukrim Twalib :
ndio maana tukawaita wasanii
2026-08-01 16:06:36
0
Mercy Alois :
pole jaman
2026-08-01 10:52:34
0
To see more videos from user @bongofive, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.