kama mm nasafiri next year April bt sijaongeleshwa chochote hki nifanyeje pls
2026-08-01 11:15:33
6
ganit_777 :
mm na home December n kufikia sasa nanyimwa chakula n kilasku n makelele lblasabab bwana akiwa nyumban napewa kula hayuko hkuna kula lkn naima aliye nlinda tagu mwadzo najua bd hajaniacha 🙏🙏🙏🙏🙏
2026-08-01 10:28:26
16
Shy girl wa Mom :
documents ni za kaz gani bora uko na ticket na passport yko
2026-08-01 18:32:15
5
Doreen mesh :
love you 4free kasweet
2026-08-01 10:12:20
5
🌸It.Nimo🤍♥️🌺🇰🇪🇸🇦 :
ebu niambie kama nilazama iqama ikuwe expired ndiyo nihome nafaa kuhome hii mwezi lkn nambiwa iqama lzma ikuwe expired🥹🥹🥹🥹
2026-08-01 21:49:57
3
Annie 💞 :
na mm next month aki date 23 nifanye nn
2026-08-01 16:32:41
2
princess of peace :
My situation right yani nilifaa kurud home since June but wanapostpond tu,, niliuliza nataka kujua naenda tarehe ngapi anasema ataniambia tu na haniambii kitu ya maana😳
2026-08-01 14:14:05
2
madam jac :
mtu uwa anabiwa after miezi migapi hizo vitu juu mimi nimebakisha 3moth nasija ulizwa wala kuoneshwa kitu
2026-08-02 02:17:01
4
chelsea queen 💙💙💙 :
si mtu ajitokezee aniambie juu madam wangu alinitoa kwa mamake nikiwa na 3month sasa nilipokuja kwa nyumba yake nimemaliza almost 1yr na 7month sai na nafaa kurudi December lkn madam ananiambia ile 3 months nimekaa kwa mamake hadi nimalize hapa kwake is that right guys I'm confused I'm so tired 😫
2026-08-02 07:53:32
3
pendoo❤️❤️❤️❤️ :
mamangu naitaji kuongea nww
2026-08-01 10:18:25
2
misspositivity 😍 :
aki dear mi naenda sept but amenisho niende oct 1st tho bado ajanikatia ticket na anasema ati niwache bags yangu moja ndo wajue narudi nikamsho lazima bags zangu zote niende nazo...makelele zimejaa uku yaani ata nmechoka...nipeeni mawaidha pls
2026-08-01 11:50:42
1
jacki :
mm namaliza huu mwezi but wananiambia niongeze six months
2026-08-02 10:50:52
2
Queen babe❤️ :
ebu nisaindie juu I'd yangu ime expire na bado awaja renew na bado miezi 4
2026-08-02 10:23:14
1
🦋 scholah Elvo🦋 :
please nisaidieni nmebakisha 2 months nihome na nilikua nmeongezea 1 yr so inaisha nov but huyu mama hataki niende ananisho niongezee another 1 yr naeza mdanganya niende nitarudi na sitarudi
2026-08-01 11:50:10
4
a. k. a. metu :
Na kama mtu alitoka Bila kumalizia contract ilikuwa imebakia one month but nlipewa final exit naeza rudi
2026-08-01 15:13:39
1
Alice 2020 wainesh :
Niko 3 years sijawai chukuliwa igama
na nitasafiri October
2026-08-01 14:32:37
1
Abbymomma🥰😍❤️❤️❤️❤️❤️❤️ :
sijui la nilikosea leo mnisho please nilikuwa nimeongeza mwaka niko supposed kuhome next year March but mwili umechoka leo nikaambia waiguru nadai kuenda for 2 months nirudi waiguru akaniuliza ati sasa ni mm na baba tu bet si ungesema mapema akskngea na vijana wake na wasichana sai waiguru anajifanya mzuri but sijui sasa nn ikobkwa akili yao guys nifanye?
2026-08-02 15:30:20
1
Dorcas Nelima :
mm naenda Dec na nmewambia narudi 😂 na sirudi hapa exit sasa nitapatajee
2026-08-01 12:21:51
2
shiko shiks 254❤️ :
mm naenda next month
2026-08-01 12:16:01
3
Faijos :
Asante kwa hii information 🙏🙏
2026-08-01 18:01:52
1
miss naomi :
yaan my situation nilisema naenda Ile vipindile Iko hapa🙆🏾🙆🏾🙆🏾🙆🏾
2026-08-01 10:23:20
4
Diana B :
Aki kwanza hapo kwa chakula.. Team strong kuweni makini Hawa watu ni roho mbaya za wivu.
2026-08-01 11:21:01
5
Lynn :
kabisa dear thanks for advice
2026-08-01 16:43:31
1
User 7195985890318 :
ukweli 💯💯💯💯 hawa watu wako Na roho mbaya sana
2026-08-01 10:57:39
2
To see more videos from user @claraaggie, please go to the Tikwm
homepage.