@ibntv_africa: #NASAHAZAULIMWENGU: Ni muhimu Waislamu kuwaheshimu wanazuoni! Darsa kutoka kwa Seikh Abbas Ramadhan #muhammad #allah #allahuakbar #quran_alkarim #quranrecitation #sheikh #ustadh #imam
Jmn mnao sema anafoka huo ndio uongeaji wake tupunguze chuki ndugu zangu hata wewe hupendwi na wote
2026-08-03 03:35:40
24
Kariakoo pump and machinery :
sheikh wetu huyu anapendezaga sana akiwa mc au muendesha kipindi kama pale kwenye busat la mtoro maa shaa Allah anapendeza sana na analitendea haki ila kwenye kutoa mawaidha bado
2026-08-02 17:53:57
31
Rommy :
mbona unatufokea sasa kwani hujui kama tunaumwa sisi
2026-08-02 11:53:21
18
Sara Othman :
tumpe mda tutamzoea uongeaji wke subra jaman
2026-08-02 18:53:07
15
Sadiki Kingo :
💪WALIID is pOwer in DSM
2026-08-02 20:08:47
8
usompenda kaja :
Hatukuelewi
2026-08-03 05:09:16
5
🇧🇮BURUNDIAN BOY :
Shekhe ningekuona wa busara sana na ungesemwa kwa mazuri sana kama ungelikataa hicho cheo mana kuwepo kwako hapo kumetufunza mambo mengi sana kama tamaa za cheo cha kidunia
insha'Allah mungu akuongoze kwenye safari yako japo ni ngumu kukubali kama utafiti kwenye nafasi ya shekhe WARID
2026-08-02 19:28:54
9
𝑑𝑜𝑔𝑜 𝑎𝑙𝑙𝑦 :
shekh walid alikua hatufokei bhn
2026-08-03 02:11:36
6
adam mashango :
Daaah tutafokewa kweli yaaani mpaka tuseme
2026-08-03 19:07:25
2
MWANAMONSI💪 :
usitutolee macho hivyo dini sio ugonvi
2026-08-03 19:57:40
1
Dr.Sikamona :
USITUFOKEE, USILAZIMISHE TUKUELEWE
2026-08-03 08:23:51
1
SULEIMAN IBN KHATWIBU :
shukran shekh abbaasi
2026-08-02 18:20:30
5
michu tz :
atukielewi ostadh 😂
2026-08-03 11:10:51
0
suleimantorres :
huyu sio kama anafoka ila Hana siasa nzur yakuwa eleza watu 😳
2026-08-02 18:07:29
8
katwe :
HUYU NI NANI HUYU?
2026-08-03 09:31:33
0
rashidasalim96 :
huyu ndie sheikh subhanallah mcharuko sasa yuwasomea watu Ana hikma yakuongoza umma hapo Hapana sheikh
2026-08-04 03:14:34
0
mwalimu :
umeamua kututukana sasa kwahio sisi hatuna adabu kivipi sasapo
2026-08-03 11:52:50
0
Abdul Yusuph :
kwenye maisha hata uwe unaongea point gani nzuri za zenye mafundisho ila kama aupendwi basi wengi wanaona unakosea ila binadamu atufanani binadamu wote Sawa awe muislam au mkristo ila wote sana hakuna makamilifu inshaallah
2026-08-03 08:28:37
0
zeezuriii❤❤ :
huyu Hapana banaaaa
2026-08-03 16:36:37
0
aishaivere :
eti shehe walind alikuwa hatufokei hivi ila watu
2026-08-03 08:28:34
0
user9162492708382 :
pukuza jazba
2026-08-03 03:25:07
2
Esha Matano :
mbona wao hawakumueshiimu sheikh walid .
2026-08-03 04:53:25
2
To see more videos from user @ibntv_africa, please go to the Tikwm
homepage.