@kiswahilitvonline: Huyu ni Captain Edward John Smith (nahodha wa meli ya Titanic) kutoka kwenye filamu maarufu ya Titanic (1997), Anatueleza kuwa "We can change in one day." (Tunaweza kubadilika ndani ya siku moja). 🗣️We are born in one day, we die in one day. We can change in one day. We can fall in love in one day, we can succeed in one day. Anything can happen in just one day. Start with day one and your one day will come."(Tunazaliwa siku moja, tunakufa siku moja. Tunaweza kubadilika ndani ya siku moja. Tunaweza kupendana ndani ya siku moja, tunaweza kufanikiwa ndani ya siku moja. Kila kitu kinaweza kutokea ndani ya siku moja tu. Anza na siku ya kwanza na siku yako itafika). 👉Kama unaamini ipo siku yako, maisha yako yatabadilika andika neno "ONE DAY" apo chini kwenye comment👇