@...africanboy: We Kausha tulia Kimya😅😅😅🙌🙌🙌 #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #fypシ #fyp #tiktoktanzania🇹🇿

AfricanBoy
AfricanBoy
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 01 August 2026 11:11:14 GMT
491643
34250
792
7623

Music

Download

Comments

robatishabani7
robertshabani :
hii ni content hakuna askari muonevu kwa raia kwa nauli
2026-08-02 04:16:11
276
iconictv0
iConic :
Mohamed akiwa anaenda kwa boss kupeleka hesabu😂
2026-08-01 20:38:43
488
iamrankie
iamrankie :
ngoja nidownload hii itanisave nikiwa na nauli nusu 😂😂😂
2026-08-01 18:50:26
116
munisi_store
Munisi_store :
ni mm Mohamed Ismail ....
2026-08-01 23:25:29
13
mwanaidimasudi
🥰ukht mwana❣️ :
jamani mbona cwezi kuidanlod niweke status
2026-08-02 06:00:58
40
dms_ninne
dms ninne :
😂😂😂Leo nimejichanganyaaaaaaa
2026-08-01 12:09:48
31
ryider67
ryider67 :
Mohamed ismail akiwa anapeleka hesabu😂😂
2026-08-02 21:19:44
26
user33407398108706
Boniface Mwamba :
mbona kama Mohamed Ismail ni mkazi wa kaskazini😂😂😂
2026-08-02 12:17:47
13
047.kitux
KITUX.047 :
duuuhhhh mwanang poleeeee
2026-08-01 17:50:47
28
ramadhanimayombwe
Ramadhani mayombwe :
mngekuwa mnawarusha na wanaokula pesa za serikali ingekuwa powa sana
2026-08-02 12:31:44
17
user667939181224
rushayna :
hahahahaaaaaa JAMAN MIMI MINGU WEEEEEE NIMECHEKA MPAKA NIMELIA
2026-08-02 03:52:18
12
jojoposhy
Jojo Poshy :
mume wangu jmn 😂
2026-08-01 17:32:11
15
stunner_yn
stunnerzz :
Mohamed ismail akiwa anarudi kwa boss wake baada ya kung'ang'ania chench ya afande
2026-08-01 21:32:23
5
vonny_grapher
vonny :
natamani kucheka ila naogopa chumbani kwangu kuna mbu watajua nilipo😁
2026-08-03 21:15:07
5
cafelazaynabarusha
cafelazaynabarusha :
2026-08-01 17:37:14
11
smartguy049
smartmomy :
Mohamed Ismail anachekesha kaama sio ndugu yako😂😂😂😂
2026-08-03 14:54:27
5
hashimmaguire
Hashim 17 :
afande kazoea uyo usimuache😂😂
2026-08-02 05:23:56
5
rehemamatuno1
rehema💥 :
Sasa elf4800 kwamba naur bei gani na alitoa eelf5
2026-08-01 21:24:44
36
hawajoelhawajoel3
hawajoel ♥️ :
sikumoja nimepanda gari nabampenzi alipodaiwa naul akasema ye stafu nikamwambia eh namimi et wambie mke wafande
2026-08-03 18:05:13
5
maryam.said789
Maryam Said :
konda kutoka hapo afande akakosa kaz maisha hay ucmdharau usiyemjua hata kam ana cheo wallah🙏🙏
2026-08-01 18:40:59
16
joh96951
Joh $ :
Hata akikupa pesa nusu we tulia kimya 🤣🤣🤣
2026-08-01 18:32:54
14
dullyamour385
star boy5 :
hiyo ni haki yake kulipwa mia mbili sio kupiga watu
2026-08-02 11:56:18
7
_mathayojustine
Mathayo Justine :
sasa sie wenzako tusirudie tena, kwani tumechukua sie?
2026-08-01 18:59:56
13
nameless_draxler
Nameless!! :
leo nimejichanganya 😅
2026-08-01 18:39:33
6
To see more videos from user @...africanboy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About