@santanacmtzmedia: SIO CHUKI NI ELIMU YA BURE: Jezi za Simba zinafika mataifa mengi sana, sasa Jezi inakwenda kuvaliwa na watu kutoka South Africa alafu Grammar imekosewa kwenye jezi? Sio sahihi 90 YEARS ANNIVERSARY hakuna hiki kingereza. Unapounganisha namba na nomino ya kipimo (kama vile miaka, inchi, au maili) ili kuelezea kitu kingine, neno hilo huungana na kuwa kivumishi ambatani. Kivumishi hiki ambatani lazima kiwe katika umoja na kiunganishwe kwa alama ya doti/kistari cha kuunganishia (hyphen).Ili kurahisisha zaidi kwa muktadha wa lugha ya Kiingereza, unaweza kuelewa mfano huu:Badala ya "90 years anniversary", unatumia kistari na kuweka katika umoja: "90-year anniversary". Kishazi "90 years anniversary" si sahihi kisarufi kwa sababu sarufi ya Kiingereza hairuhusu nomino ya wingi ("years") kusifu au kuelezea nomino nyingine ("anniversary") moja kwa moja.Katika mifano ya kawaida ya Kiingereza:Huwezi kusema "shoes store", unasema "shoe store" (kwa umoja).Vivyo hivyo, huwezi kusema "90 years anniversary", unapaswa kusema "90-year anniversary". Follow upate habari zaidi Kila siku Santana cm

SANTANA CM TZ MEDIA
SANTANA CM TZ MEDIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 01 August 2026 11:22:29 GMT
24147
138
22
5

Music

Download

Comments

peki213
peki :
90th year anniversary, 90 years anniversary ni sawa
2026-08-02 13:59:34
0
weja001
weja do santos :
lakini unatakiwa kujua kua tanzania sio nchi ya kingereza
2026-08-02 06:55:04
2
daniel.theodore06
Daniel Theodore :
kwa asilimia 100 hatujali
2026-08-02 12:46:44
1
user5900587954082
Mamen daz wizzy :
Achane ujuaji hapa duniani wote ss ni wageni
2026-08-01 13:42:00
2
rajabu.swalehe.sh
Rajabu Swalehe Shekigenda :
kwanz duniani tumekuja kunyatuu kila anaye maliza anarud
2026-08-02 11:53:46
1
mkemia.official
Mkemia Official :
Lakini umeelewa.
2026-08-01 13:38:38
2
atkins0128
nasajak :
kwani simba ni nani
2026-08-02 06:57:08
1
adallah.rashid.md
Adallah Rashid Mdiliko :
sisi sio salimu wa hizo nominated tunaimani umeelewa
2026-08-02 10:46:00
0
seif_haeby4
haeby :
Dah!...kweli hakuja jamb zuri lililokosa lawama 😂
2026-08-02 10:30:31
1
sheisrey01
sheisrey🎀 :
kwhy ulikuw unasemaje ebu kwnz tukusikilze😂😂😂
2026-08-02 04:56:46
3
msakanoti.bogo
☘️Bøgø Tż☘️ :
Uo umbea usio kuwa na faida haya ume jua imekosewa ume pata bei gani
2026-08-02 14:01:40
1
officialamigo67
RJ The king :
utajua mwenyewe bnaaa shauri ako jezi haichez wanaocheza ni wachezaji boe sawaa tukutane uwanjan basii 😂
2026-08-02 11:24:25
1
dohomexylic
dohomexylic :
tutapata wasomi wengi sana msimu huu 😂😂😁
2026-08-02 10:30:19
1
ntalegabriel69
Ntale Gabriell :
lakini si ujumbe umefika 😂😂 90
2026-08-02 09:26:04
0
babaeddie1
Big nation :
kwa hyo ni hako ka S tu ndo kanawaacha mdomo wazi.kweli simba taifa kubwa😅😅😅
2026-08-02 06:33:17
0
userbajaberr
BAJABERR :
tengeneza zako ww some ss😁
2026-08-02 15:01:36
0
To see more videos from user @santanacmtzmedia, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About