@manyandaafricanpowerr: Rasmi tumeanza! 🎉✂️ Leo tumekata utepe wa ofisi yetu mpya. Asante kwa wote mliofika kushuhudia historia hii, na shukrani za kipekee kwa Dotto Magari kwa kushiriki nasi siku hii muhimu. Huu ni mwanzo wa safari mpya. Karibuni ofisini! 🔥💚 #ManyandaAfricanPower

manyanda african power
manyanda african power
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 01 August 2026 11:53:11 GMT
143098
8529
149
113

Music

Download

Comments

nersreh4
@nersreh :
manyanza au manyanda😁
2026-08-01 13:00:28
28
rhys148
@rhys :
kilichoandikwa na kinachotamkwa tofauti
2026-08-03 04:50:28
0
mugenikitangi22
Mugeni Kitangi@8 :
African power manyanda
2026-08-01 12:56:31
7
allycksonjeuneleadergmai
Prince💵 allyck son💰🇨🇩 :
hatwa tuko mbali lakini tume furahi sana kaka manyanda African ni power
2026-08-01 11:59:20
20
islim123_official
ÏSLÌM official🥷 :
mutu ya kwanza ku count adi 4
2026-08-01 14:16:21
11
brina12446
Brina :
HONGERA sana kaka tuko pamoja office yetu tunayo na tunatamba nayo 🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-08-01 12:59:23
6
pretty__sakina
SAK lips💋 :
congratulations 🎊
2026-08-01 12:10:05
1
user534511088402
abduly :
kwamba mganga
2026-08-02 05:10:44
2
oscarkisanga
oscar jr 75 :
Kumbe english ipo kaka doto
2026-08-03 10:34:35
2
tiktok.commwinukaconsult
Abdul :
Tangazo la uganga hili 🤣au misijui
2026-08-02 07:01:03
2
kingahmed7885
🇹🇷🇹🇿 :
manyanda african dott sio manyanza
2026-08-01 13:50:05
4
user511119859459492
Nira baby girl 💕💕 :
Uyo ana chukua nyota yako uyo mbona mkono akuachii
2026-08-01 18:18:10
7
sam.mallya3
Giantpoultryfarming :
Hiki ndo kile chama kinatafuna vijana wetu kila kukicha?
2026-08-01 14:29:33
7
hassanmsami4
Hassan kilimo :
mwisho ni three alaf unakata ila doto kaenda mpaka 4
2026-08-01 19:02:05
5
user1847290221274
@texas01 :
bg up sana kaka
2026-08-01 17:14:02
4
star.roja7
Star Roja :
Dotto ushapima
2026-08-01 22:27:56
1
suzywakamau12
lovely :
one,two,alafu nn sijasikia vizuri😂😂😂😂.......kaka yangu nakupenda bureee
2026-08-01 18:16:17
2
hassanhussein4568
07 :
sasa hapa ni ofisin au nyumban
2026-08-01 20:08:50
1
carinah_.b
carinah :
Hongera sana manyanda Africa power 🥰
2026-08-01 18:33:34
3
johnson.john678n
Johnson John :
kaka manyanda milele uish
2026-08-01 14:08:12
3
dborah_mayani
Déborah_mayani :
poa boss wetu wote
2026-08-01 16:44:44
3
calister.raisi
Calister Raisi :
hongera kaka
2026-08-01 15:24:05
1
nyag1994
NYAGOLA YANGA TARIME :
Nahitajii na mimi gorofa kama lakooo nikaishiiii
2026-08-01 17:49:33
3
darl.y29
jimini :
ila doto yupo kilamahali
2026-08-01 14:23:43
3
omaryomary143
omaryomary8756 :
kaka nisadiye
2026-08-01 18:21:31
1
To see more videos from user @manyandaafricanpowerr, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About