100% I once told my husband if I was to do whatever he did to me angekua amenifukuza na talaka juu ni ukweli wanawake tuna subra Sana
2026-08-01 12:17:55
34
Mrs sadiq💋 :
I needed to hear this 🥰
2026-08-02 05:43:19
1
@eshamaneno :
haina formula
2026-08-02 09:54:07
1
RemmyResArts 🇰🇪 🇺🇸 :
Very true wallahi🥰 May Allah make it easy for all women be it Married, yet to be Married or Divorced because whichever status we carry lazima tuwe na Subra ya haliii ya juu!!!
2026-08-01 21:23:09
1
shamy :
nilikuwa niede kwetu lakini nilivyooza kukusikiza imebidi nitulie😂❤️na ndoa ndio miezi mbili
2026-08-01 21:29:21
11
St💫r :
am scared now of marriage 😳
2026-08-01 15:19:37
1
princess chicute. :
Vyengine havina subra my dear.
2026-08-01 22:06:17
0
Darlington Bella :
Watu wanaishi na Depression sababu ya Subra😰Mungu saidia 🤲
2026-08-03 17:58:46
2
bintsagar774 :
swadaqata mpenzi
2026-08-03 17:02:22
0
shariffer :
2026-08-01 12:53:42
1
storm :
ALHAMDULILLAH .SUBRA MUHIMU
2026-08-03 19:08:06
0
Beautiful ♥️ Bosslady :
kabisaa dadangu ♥️Nakupenda kwa ushauri wako
2026-08-03 15:57:37
0
saeed saeed :
waambie wakusikie sababu ukweli ndoa c o rahisi waonavyo kama mtu hana uvumilivu
2026-08-01 13:16:55
0
Imam mahdy (atfs) :
uko sahihi mama Ake
2026-08-02 19:33:52
0
ummu ridhwan :
nieleze maana ya subra
2026-08-02 20:09:32
0
eisheradams :
shukran
2026-08-01 12:25:59
1
Clasic handbags by🦋 ladhaney :
Nimejifunza mengi hapa Alhmdulilah🥰
2026-08-03 13:57:51
2
Ayush Abby 🥰 :
swadakta
2026-08-03 21:11:55
0
mammysharks :
Shuqran kwa wasia 🥰🥰🥰
2026-08-02 18:14:57
0
Abduli Rahmani Sulei :
hakika dada asnt umeongea n umeugusa moyo wangu 💯
2026-08-02 17:45:02
0
Boss Mama♥️ :
swadakya nlisubiri na mune miaka na alhamdulillah ALLAH akatufungulia🥰🥰
2026-08-02 17:31:38
1
timamahamud :
maa shaa Allah tabarakllah Allah dadaa leo umesaidia ndoa nyingi sana kwa wenye akili na kusikia malipo n kwa Allah to my 🥰🥰🥰
2026-08-01 12:58:56
0
To see more videos from user @thehijabyjournalist, please go to the Tikwm
homepage.