@urbanfarmcity: Unajua kwa kiasi cha Tsh.3,600,000/= TU Urban Farm city wanakuwezesha Kuanzisha na kumiliki mradi wako wa ufugaji kuku wa nyama (broila) 1000 wanaoweza kukupatia faida isiyopungua Milioni 1 kila mwezi. : kiasi cha Tsh.3,600,000/= Tu ni kodi ya mwaka mzima ya banda la kuku 1000 la kisasa lenye mifumo ya maji automatic na vifaa vya kulishia Yani full furnished banda, likiwa na chumba cha kuishi mfanyakazi wako (Mradi wako utaendeshwa kwa ushirikiano kati ya wataalamu wetu na mfanyakazi wako) : Baada ya kulipia kodi ya banda utakopeshwa vifaranga 1000 na Chakula cha kulisha hadi watakapofikia umri wa kuuzwa, vyenye thamani ya Tsh.5,900,000/= : Soko la mkataba kwa kuku utakafuga katika mradi. : Nafasi zipo za banda 30 tu, hatutoi huduma kwa wafugaji wa nje ya mradi wetu. : Tupigie kwa simu 0776644040 kuwahi nafasi : Ofisi zetu zipo shambani ulipo mradi, shamba lipo mjesani,Tanga, kilomita 30 kutoka tanga Mjini : kwa wasioweza kufika shamba fika ofisi yetu ndogo kinondoni Garden,Dar es salaam.

Urban Farm City
Urban Farm City
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 01 August 2026 12:16:53 GMT
8168
264
9
80

Music

Download

Comments

user3074005267049
Zuwena haji :
vp nafas zimeisha boss
2026-08-02 07:10:22
0
raymoochickentz
KukuNaRaymoo :
Kaka nakufuatilia sana ...Hongera sana Kwa mapambano
2026-08-01 17:49:55
1
familyroyal2
muu :
mwanza mnafiki?
2026-08-01 19:46:39
0
kizuathename
KIZUA MAKUKU👉buguruni📍 :
👏👏
2026-08-02 00:11:57
0
moshisuit
MOSHI SUITS | +255673725568 :
🔥🔥🔥
2026-08-02 06:29:59
0
To see more videos from user @urbanfarmcity, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About