🙏𝗗𝗮𝗿𝗲𝗻𝗰𝗲 𝗟 𝗘𝗱𝗴𝗮𝗿 :
na watu wanachukia culture yetu hutuuliza nini surely😳kila tribe iko na culture yake na wanaipenda,,mbona tunapenda culture zetu,,zinaleta umoja,upendo,ushirikiano,na amani pia,,si nimewaambiako kitu😂😂penda kwenu bana,ongea lugha ya kwenu,,uringe na uko duniani ,are an Angel😁ata malaika huspeak in tongues😂penda kwenu
2026-08-02 11:43:12