@sanyanationlabeltz: baada ya msiba kugairishwa na kurudishwa dar watu wamekua na mengi ya kuongea ila dada ameligusia swahili la BENJA WASANYA JUUU NIUZUNI😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

SANYA TV
SANYA TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 01 August 2026 14:04:09 GMT
123438
2969
66
111

Music

Download

Comments

user3422159659551
user3422159659551 :
sanya juu ya mkoa gn jmn
2026-08-01 16:24:09
12
azorindege
Ndege Jr. :
wangezika tu kwan mbona tunazika watu hatuwajui jaman
2026-08-01 17:21:33
7
momy.dida1
Momy didah :
Poleni sana wafiwa
2026-08-01 17:01:10
4
brinah819
Brinah :
😭😭😭😭jmn B unateseka pole ila endelea kupumzika kwa aman
2026-08-01 15:31:46
3
user3811247088340
manka :
vijana walikua wamelewa sana ukweli ndo huo
2026-08-01 17:45:32
7
jennyde0
Jenny de patrah :
huy marehem huend alimwomba Mungu asife kabla ajafik mosh ikatokea bahat mbay akaf ajafik hvy akapata chansi ya kuj akiwa maiti aendelee kupumzika kwa aman 😭😭
2026-08-01 21:34:39
10
mrs.fellychesm
mrs.fellychesm :
Dah apunzike kwa amani
2026-08-01 21:48:51
1
user5306351741051
user5306351741051 :
inakuwaje muchukuwe mwili siooo wa ndugu yako mpaka anaandaliwa anawekwa kwenye jeneza ndugu walikuwa wapiiiii jamaniiiii auuuu ndio uoga mukashindwa kuhakiki na jeee gharama za mazishi kuleta kumrudisha mulete Tena kweliii Muna hella hongereniiii
2026-08-02 11:32:18
1
user22676832738037
Beby J :
Sasa kwann mlimbishia mdogo wake lakin
2026-08-02 07:59:37
3
sifael618
prettygirl :
polen jmn jiran zangu
2026-08-02 07:04:18
1
lilian8019
Lilian :
kilimanjarooo
2026-08-01 19:40:56
1
judithmollel
judithmollel0 :
Mnasumbua marehemu jaman😭😭
2026-08-01 16:33:02
2
vivianmrema3
vivianmrema3 :
poleni sana ndugu zangu na mlimpokea kwa bashasha poleni
2026-08-01 16:30:15
2
user9511078326502
MUNUO THE DONE :
ase daah!!
2026-08-01 15:53:57
1
user3422159659551
user3422159659551 :
sw polen
2026-08-02 08:20:02
1
user3422159659551
user3422159659551 :
ok
2026-08-02 08:19:33
1
user977121016122
Rose Mwamwaja :
duh huyu kaka huo msiba uliondoka jana jioni na jirani angu
2026-08-01 17:40:17
1
mamu.jacksom
mamu jacksom :
poleni sana jamani nilijua ajafa uyo benja kumbe mwili t ndo mwingine
2026-08-01 17:30:10
5
useranneth05
[email protected] :
Me bado najiuliza swali. Kwani mwili si unabandikwaga plasta za kutosha? na kabla mwili haujaandaliwa si kuna ndugu mnaitwa kuuangalia mwili?
2026-08-02 05:14:14
2
user6778476611074
user6778476611074 :
nawaza mafutayalivyo gharama
2026-08-01 19:10:23
3
ayoub.yusuf2
Ayoub Yusuf :
hii inakuja mmezika kwa mfano kumbe hajafa na muda mnamuona ndio mnasema kafufuka
2026-08-01 20:57:23
2
tausiramadhani803
Tausi Ramadhani :
kwani awakumuosha?
2026-08-01 17:22:28
3
azorindege
Ndege Jr. :
Walimpigia simu nani? kwann hakutoa uhakika muda wote watu wana doubt?? yaan watu wametia mashana kaka kimya au alitaka tu apigiwe simu manina
2026-08-01 17:20:56
3
user3422159659551
user3422159659551 :
jmn hd mbali ivo jmn mwili unatesk yarabi
2026-08-01 16:32:09
2
irenestore95
irene_store_95 :
Na ndug wa uyo wamepatikana sasa jaman kwan siwangefanya DNA
2026-08-01 19:46:30
1
To see more videos from user @sanyanationlabeltz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About