@hassanbokojumbe: Bora zamani tuu hiii nu kero sasa🙏🏻📌✂️

hassanbokojumbe
hassanbokojumbe
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 01 August 2026 14:12:21 GMT
4540
407
56
10

Music

Download

Comments

mwinukasaid
mwinukasaid :
ahahhahhaahh
2026-08-02 12:38:54
0
george.mwembe0
George Mwembe :
ACHA tu bro tunapotezaa muda na pesa
2026-08-02 14:24:52
1
mkongo95
Mkongo jr :
Hiyo kuanzia Jana aisee Network tatizo😏
2026-08-02 07:40:22
1
david.michael3594
David Michael :
tunataka kwenda mbele wakati tupo njee ya muda maswala ya kidigital tuwaachie wenzetu sisi Bado sana yaan network hamna na njia mbadala hakuna
2026-08-02 04:26:18
3
wahidsalim143
salim :
wasomi hamtusaidii kabisa
2026-08-02 06:25:47
0
bonyfassanga
bonyfas :
tumekaa sana apo
2026-08-01 14:16:05
0
bonphacekened
Bonken👟. :
Apo ndo mpo Whisky sasa 😂😂😂🙌🏽
2026-08-01 14:16:14
0
petermwanyika62
Peter Mwanyika :
tunapoteza sana mda
2026-08-02 09:09:26
0
uncle_msodock
U N C LE _ M S O D O C K :
Kaka sisi tumekaa juzi iringa igumbilo kuanzia sa nne usiku mpaka sa 1 asubuhi ndo mtandao unaludi
2026-08-01 14:47:01
0
sikilizalwisa181
Sikiliza Lwisa :
sikia kaka mwaka 2012 tulikua tuna kituo Cha vigwaza pekeake ndo tulikua tunagonga pale tuu hakuna sehem nyengine alooo sahz keroooo
2026-08-02 19:10:07
0
kelvinsanga217
Kelvin Sanga :
dah wanazingua sana polenta wazee wenzangu
2026-08-02 06:08:48
0
mwaisa_truck_tz
DADDIE MAGARI🚛 :
😂😁sasa hv mbaya n mbaya
2026-08-02 15:33:16
1
tenendboy
Tenende_boy :
😂😂😂mkuu si wengin hatubebi mbao
2026-08-02 16:14:44
0
nasoromahengo
Nyapala la makolo :
Hapo inapaswa wagonge miuli watu watembee tu
2026-08-02 09:32:41
0
akimwalongo
aki TZ :
duu
2026-08-02 08:58:00
0
bezalelisanga5
🎁💝Bella💖💍💗 :
Nimekaa juzi ulembwe njombe hadi pamekucha inakela sana.
2026-08-02 05:07:42
0
hormuz_0
Strait f Hormuz :
kuna mwamba igawisenga alikuaga anapiga saini dakika 45😂😂😂😂😂🤣
2026-08-02 18:32:36
0
stephennyunza
Stephen nyunza :
makwawa_Mafinga hiyo...
2026-08-02 07:46:54
0
benniewalker24
B2 :
makwawa hapo
2026-08-01 14:41:36
0
rogerkeshen5
Roger Keshen5 :
Makwawa 😂😂
2026-08-01 14:39:33
0
ronecaptain
Captain🇺🇸Makaveli :
Asa hapo useme ule usemi wa nitakula Mbele mbele pale 😂😂😂
2026-08-01 15:09:59
1
anthony.mfuse
Anthony Mfuse :
inaboa afu inachosha
2026-08-01 14:48:35
0
joseph.kasambula
JOSEPH KASAMBULA :
oya kuna cku nililala na nja mzee kisa mtandao ndugu bek haisomi laini haisomi na hela ipo kwa cm acha
2026-08-01 16:21:51
0
rampro76
kasozi Ashimu ramp :
❤️❤️❤️
2026-08-01 15:38:57
0
user7942413092611
ahoboki :
❤️❤️❤️
2026-08-01 14:29:35
0
To see more videos from user @hassanbokojumbe, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About