@j.six8:

@jsix666
@jsix666
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 01 August 2026 15:34:53 GMT
27296
1231
76
52

Music

Download

Comments

prezy.dar
prezzy Dar :
respect sna
2026-08-03 11:32:45
0
shangazi.baby
zizuu :
Tabia ya kuacha begi ndani ya basi kisha nikazurure nje ilinitokea puani. Nililikimbiza basi mpaka linakaribia Maili Moja Kibaha, boda alivyoona hapa hakuna kulipwa akasimamisha boda huku tukishuhudia basi likichanja mbuga kuelekea Mlandizi. Ile siku nililia kuliko Ambulance ya Muhimbili Hospital.
2026-08-03 17:40:31
8
chapo5159
chapo :
nakumbuka mwaka 2020 wakati natoka Zanzibar naingia pale Dar nikadaka chuma ya Saul toka Dar to mbeya,Kuna jamaa si akachwa na Hy bus akachukua boda boda alimlipa boda 40000 lile bus lilikuwa halina huruma na mtu 😂😂
2026-08-03 16:56:17
5
www.commeckpeter
I don't care ,Meckwisdom :
sauli on trending
2026-08-03 10:54:00
4
mkaliwalipa0
Mr Joseph HD :
kipindi hicho dar palikua mbali sanaaa sio kama sasa hivi dar ni kalibu mno kila mtu anafika
2026-08-03 15:11:18
23
.matengo.son
# Matengo son :
nakumbuka hapo niliachwa na ally's no 1 mungu saidia nyingine ilikuwa imechelewa ndio nikapandishwa ya pili yaan nilienda kuikuta mizani maili moja
2026-08-03 19:22:58
4
bonnieecho2
bonnieBackup💫 :
Endelea kupumzika 🙏🏾😌💔
2026-08-02 22:33:02
10
isega.mboya
Isega Mboya :
namuona mwamba SAULI 😢😢
2026-08-03 16:07:38
1
bebesilva450
babynana ♉️ :
nilitapeliwa hapo sitapasahau nashangazi kaja langu wakabeba
2026-08-03 17:42:43
2
hanso.elm
Hanso elm :
Niimeiona sauli hapoo
2026-08-02 20:28:23
3
hilda.shemnguo
hilda shemnguo :
usinikumbushe stendi ya ubungo jamani khaaa ilijuakututesa mimi niliachwa na basi baada ya hapo nikawa naendakulala ubungo ili niliwahi basi daah
2026-08-03 07:46:35
3
tuzomnene
Maisol mtumba store👚👗👖 :
Yn ubungo nilishuka hapo😂 nikashindwa pakutoa kila nikizunguka narud pale pale😂😂
2026-08-03 17:39:07
1
tatianadido1
tatianadido1🥰👨‍👦⭐️ :
niliachwa na newforce,,,nililia balaaaa😭😭😭,kama mara mbili ila hiii ya pili nilichukua boda mpka mbezi mwisho nikalikuta,
2026-08-03 19:28:42
1
johnsonmshani
joh elias :
kipindi kile ndo kulikuwa na ligi achana na saizi aisee
2026-08-03 09:46:24
5
hajj.nyambu
Hajj Nyambu :
dah aisee long time yani nilijuwa naenda kukaa pale ubungo maji kusubir nione ngorika au capricon sauti yamanka
2026-08-03 15:05:02
1
wambegu_01
WambeguDTC :
naombebi hii OG mwenye nayo please
2026-08-03 14:36:23
1
princemangii
Prince mangii :
niliduaaaa kwanzaa daah ubungo ya zaman daah
2026-08-03 13:27:31
1
user7851081256330
ftft :
12 asbh inabaki kuw Timetable pendwa kuwah kutokea kwenye karne ya 21.
2026-08-03 12:50:03
2
wambegu_01
WambeguDTC :
nilikuwaga nikisindikiza mtu ubungo, siondoki mpaka hii vibe iishe napenda sana jaman🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-03 14:34:43
3
johboy473
JOO🦚⚽️🎖🔛 sports wear ⛳️⚽️🥅 :
hii ndo ilikua stand sasa🤝😂
2026-08-03 16:20:02
2
msamiati0
𝕄𝕊𝔸𝕄𝕀𝔸𝕋𝕀 :
Duh hapo ndio palikua Ubungo 😂😂😂😂😂, Hii nchi Magufuli aliitoa mbali sanaa
2026-08-03 22:39:27
0
erick.mkwetu
Erick Mkwetu :
Hapo ubungo ilikuwa ni noma
2026-08-03 17:30:52
0
mwangolejr6
Jimmy Mwangole Jr :
hii sasa ndii ilikuwa stand bora na ndio kipindi iki ligi ilikuwa tamu ya mabasi.....achana na hiyo kona yavo lala mabasi ni noma
2026-08-03 16:29:40
4
emmaboe001
Emmaboe001 :
nakumbuka kuna siku ilitikeaga mgomo alaf walipokubaliana magari yakaanz kutoka ss kama ilivykawaida magar yakaanz kutoka kwa spidi kali ss kuna gari moja likafunguka buti aisee ilipita na vichwa vya watu balaaa yan siwez kusahau
2026-08-03 18:35:36
1
josephoishooish27
faru_jooh2 :
hapa madereva walikua wanalipa mtu kwaajili yakuwatolea gari getini
2026-08-03 17:08:20
0
To see more videos from user @j.six8, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About