@tanzaniaone03: Msanii wa muziki wa Hip Hop Tanzania Roma Mkatoliki amechapisha video kwenye ukurasa wake wa instagram akiwa kwenye ndege na kuandika ujumbe huu ''.Nataka maisha mapya Maisha bila sababu KWANZA NINAARIBU NYUMBANI USIKU HUU Sawa, haijalishi gharama ni gani Na kama ndege itashuka Au kama wafanyakazi hawawezi kuniamshaSawa, fahamu tu kwamba niko sawa sikuwa naogopa kufa'' Ameandika - Roma Mkatoliki
Tanzania 🇹🇿 One✌
Region: TZ
Saturday 01 August 2026 16:01:50 GMT
Music
Download
Comments
swat :
𝑤𝑒𝑙𝑙𝑐𝑎𝑚 𝑏𝑟𝑜𝑜 𝑟𝑜𝑚𝑎
2026-08-02 10:35:38
0
Capt. R :
Welcome my brother love you so much
2026-08-02 04:27:49
1
RS KITENGO :
an ww n vvvvvip
2026-08-02 14:43:28
0
Peter mapulishi :
Warburton.hm
2026-08-03 07:17:26
0
shukranikasereka :
home is home
2026-08-02 09:52:19
0
sultans' :
on love
2026-08-02 04:46:37
0
Jay home store :
Kaka usirudi bado mambo siyo shwari
2026-08-01 21:52:25
21
mtoto mdog malfa meng :
kama unamkubal roma tujuan kwa lake
2026-08-02 11:26:03
13
Ndele jr-07 :
nyimbo insitwaje hii
2026-08-03 12:00:01
0
Hussein Dully Flavour :
roma
2026-08-03 08:20:25
2
nicklassfamily :
hii Ngoma inaitwaje
2026-08-02 20:45:21
0
MTU mtutu :
Kaka Rudi wadogo zako tumekumiss
2026-08-02 06:29:54
4
MAMBORY KIDIA 206. 🇹🇿 :
kule pamekua pagum hakuna Tena kulelewa siasa siyo chai
2026-08-02 17:38:54
1
enocknyambi :
kaka rud tumekumis wadogo zako
2026-08-02 18:28:33
1
user2138048187209 :
rudi kaka tumemic ngoma zako tuliku wapweke sana
2026-08-03 05:47:52
1
mtoto wa xenta :
mmmh sauwa si tupo kk
2026-08-02 07:07:05
0
de bigest tz +255 :
wo
2026-08-02 17:42:18
1
kikumi OG :
Rudi kaka
2026-08-02 06:43:25
2
Nickolaus :
karibu sana kaka yangu
2026-08-01 17:14:50
1
chama jr 17 :
karibu kaka roma nakubali sana ngoma zako 💓
2026-08-01 21:37:24
2
y sulle :
familia 😁😁😁😁😁😁😁😁😁
2026-08-03 14:38:33
0
Mussa Mbisse :
Rudi kaka hapa tz ni kwako
2026-08-03 18:03:02
0
Abdui karim 45 :
baba 🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡
2026-08-03 22:19:59
0
noadia de Queen 👑 :
napenda nyimbo zako.
2026-08-03 17:56:46
0
msuva :
mh mh kaka Roma tz tena
2026-08-03 18:18:50
0
To see more videos from user @tanzaniaone03, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.