Allah amsamehe babangu mapungufu yake, amtilie Noor kwenye kaburi lake amtanganye na wema pema peponi. Ameen ya Rabb Ameen
2026-08-02 16:21:45
1
mamagirlz🫂 :
ALLAH azidi kukuhifadhi sheikh wetu tupate kufaidika namema ktka dunia yatakao tusaidia hapa nakesho akhera kwetu sote....babangu dua zngu kwako akuepushie na adhabu yakaburi ctaacha kukuombea dua kila wakati😥😥
2026-08-02 10:43:44
1
habibtyamne :
Alhamdulillah Allahu maghfir llahu waarhamuhu
2026-08-01 17:35:33
3
Jajaa40 :
Mungu amrehemu babangu, amsamehe dhambi zake na ampandishe daraja. Amin 🤲🤲🤲
2026-08-01 17:34:54
7
abdulmwakubambany :
barakh Allah Kher
2026-08-02 16:41:14
1
capteen :
mungu awarehemu wazazi wote walotangulia mbele ya haki
2026-08-02 14:41:02
0
Abooyeah💯 :
MashaaAllah
2026-08-01 19:06:33
1
@fatima2fatima :
Shukurani sana
2026-08-01 19:53:39
1
Raj_001 :
Allah akuhifadhi tuzidi kufaidika 🤲🤲🤲
2026-08-01 18:27:19
1
yussuf axmed ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️👈 :
mashaa Allah❤️❤️
2026-08-01 20:32:22
1
user7360307439534 :
Mimi Nina suali hivi kama mama alikukosea na ikafika kiwango hamzungumzi na ni yeye aliyekukosea je katika Hali hii mtu atafanya vipi?
2026-08-02 04:01:25
0
ummu fatma :
Naam swadaqta ustadh Bahero
2026-08-02 15:01:39
0
Mum love :
umenifanya nilie shekhe
2026-08-02 09:03:17
0
shushuu 21 :
jazakallahu kheri ustadhi
2026-08-02 16:12:45
0
nameless :
mbona hujaeka watu wa dwnload hii clip?
2026-08-02 10:59:04
0
user6479521609823 :
mashallah❤️
2026-08-02 10:50:03
0
blacklist :
mashallah
2026-08-02 11:31:14
0
mohamed swaleh :
mashallah
2026-08-01 17:30:02
1
Captain Abdul kesi 🌴🏝️🌄🌊 :
wote wanauzito wakiondoka
2026-08-02 18:01:44
0
katesh :
SWADAQTA YAA SHEIKH..
MAASHAA ALLAH
2026-08-02 05:07:47
0
user7359229667489 :
shukran
2026-08-02 04:07:38
0
Annuh :
ALLAH amraham babangu ampandishe daraja amjalie pepo firdaus kwa malezi yake.mema ALHAMDULILLAH namshkuru ALLAH kwa kila jambo
2026-08-02 03:59:37
0
aliabdi :
mashallah asahntumm
2026-08-02 02:54:51
1
sofiamohammad552 :
swadaktah sheikh. wala hupati kama wazazi wako kamili
2026-08-02 11:15:49
0
To see more videos from user @sheikh_bahero, please go to the Tikwm
homepage.