@saidsobo: Mechi imeisha kwa Matuta wachezaji wa ndani wote walimaliza kupiga mpaka makipa wakarudia penati moja moja mpaka kupata mshindi #creatorsearchinsights #fyp #mganga #sodo #football
huu uwanja upo wap leo nataka niingie icho kipande
2026-08-02 04:14:50
1
Maneno jalika :
huu ndio mpira ninao upendaga mm full vibes 😂😂😂
2026-08-02 06:12:52
0
nixonjr :
imenikumbusha mwembe yanga tmk
2026-08-02 05:04:22
0
DadY kendrick :
mwanangu sobo toa logo ya nyumbn basi tusapot nyumbn uko japokuw hatukai uko njoo sokoine utembee au njoo maputo utembee yan iwe unyam tuitangaze om mm nina historia na mitaa iyo scul zile pale daaah
2026-08-02 00:25:46
0
Syabonga Xangweni 🩵🩵 :
mimoto 2 🔥🔥🔥
2026-08-01 16:53:00
0
dizzy barista og :
Kashinda nani leo
2026-08-01 19:24:41
0
said jumanne awenge :
mpira una kazi
2026-08-01 18:58:43
0
MHAGAMA :
stombag stadium mbagala rangi 3
2026-08-01 19:14:14
0
abuuince :
dua kak leo mapema nipo hapo
2026-08-02 06:38:30
0
Zungu001 :
kama ungekuwa unafanya kazi bac tanzania tungekuwa namakombe mengi ya Dunia au afcon😁.
2026-08-02 05:29:27
0
Omary Iddy :
oleee wako umgusee mganga wa timu pinzanii
2026-08-02 04:42:42
0
user4084567284619 :
ndondo cup
2026-08-02 05:17:44
0
Said Kimilila :
😂😂😂😂ndondo
2026-08-01 19:49:11
0
Hammy36 :
😂😂😂
2026-08-02 06:39:04
0
Agent 47 💀 :
😂😂😂😂
2026-08-02 07:12:43
0
To see more videos from user @saidsobo, please go to the Tikwm
homepage.