@shassycollectionsarusha: Mnyakyusa wangu😂❤️

Babe_gal
Babe_gal
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 01 August 2026 17:10:55 GMT
125460
10504
357
676

Music

Download

Comments

lovie7667
Lovie :
Ukiwa mchunguzi km FBI utagundua hizo kucha hazifanani 😁, kwahyo zote syo za leo. Single people hi 👋👋😅😅
2026-08-01 19:48:31
342
gthebosslady
Gthebosslady :
Wew unaonekan umeji surprise mwenyewe 😂
2026-08-01 19:06:20
202
ms.minnah8
MINNAH AQUARIUS ♒️💜 :
mmeshaanza different zenu tupo busy na yanga tulienii😂😂😂
2026-08-02 07:52:21
0
___a.z.u.r.e._
azure💙 :
Aaaww community 🤣
2026-08-01 20:56:10
1
ms.sisca0
Ms.sisca🤍🦋 :
braids and wig same day🥰😂😂😂
2026-08-02 03:17:16
47
jacque_cosmetics0
jacque_cosmetics0 :
Nawapendaga commenters
2026-08-02 11:17:09
0
maxie...emily
imac..#@ :
comment section imenifanya niangalie video zaid ya mara tanoo😅😅😅😅😅😅
2026-08-02 09:20:08
0
therealme902
sEcondBorn-♋️ :
Fake it until you get it 😂😂
2026-08-01 20:12:41
17
chaupole28
🖤 :
wanyakusya hawa hawa wa mbeya au unaongelea wa katoro😂😂😂
2026-08-01 20:52:47
35
_____essy16
E. :
Haya mayatima wa mapenzi njooni hapa tusmile kwa macho tu😊
2026-08-01 19:01:19
30
aishanabiashara
Mwanaidi :
Mbona Kama ni matukio ya muda tofauti tofauti😂😂😂kucha nywele jamani khaaaa😂😂🙌
2026-08-02 05:32:19
15
neynee14
Neema🌷 :
Kuna watu wanaishi na sisi wengine tunaishia😂
2026-08-01 17:19:53
26
user8152749720224
mashi :
naomba hata sendo dr😥,ila hongera mie nimeolewa lakin nimpweke mpaka so poa najiandaa kuondoka mwezi huuu uwiii sijui itakuwaje😥
2026-08-01 17:26:04
5
b.e.lliavie
Rose Victory :
ko umeunganisha matukio mwanetu
2026-08-02 14:59:05
7
maggi_e7
Lena🦋 :
Acha mm mbuzi niendelee kutengenezwa ndafu😭😂😂
2026-08-01 17:21:29
5
florahtinnez
FLORAH's GLAM🫦🖇 :
😂😂Kwan mnyakyusa wako ni wa wap mbn uyu wangu ni kama simuelew kbc yan😂😂😂😂au sio mnyakyusa 🥺
2026-08-01 19:15:01
5
nayrat92
nayrat...mobile📲 :
ahsante kwa kujinunulia zawadi mwenyewe😂😂😂
2026-08-02 06:34:37
6
ms.swaumu
miss swaumu🥰🥰🥰😘 :
asa Kuna mm hap Sina mpenzi Nina kiatu pair moja kwisha mm😂😂 hongera kipenzi 🥰
2026-08-02 08:18:01
3
To see more videos from user @shassycollectionsarusha, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About